40 CHADEMA KIBONDO WAJIONDOA

 




Baadhi ya Viongozi na wanachama wa Chama cha Democrasia na Maendeleo CHADEMA Wilaya ya Kibondo Mkoani Kigoma wametangaza kujiengua na Chama hicho kwa madai ya mpango wake wa kuendesha Oparasion ya Bila mageuzi hakuna uchaguzi

Wanachama hao wamedai kuwa hatua hiyo inawanyima haki yao ya Msingi ya kuchagua na kuchaguliwa

 

Wakiongea na Waandishi wa Habari mjini  Kibondo mmoja wa Wajumbe wa Kamati tendaji na Katibu Msiaafu wa Chadema Wilaya ya Kibondo  Lenatus Richadi alikuwa wakwanza kutangaza kijiengua kwenye Chama hicho na kueleza kuwa hajawa na mpango wa kujiunga na chama kingine kwa sasa

 

Wanachama walioamua kujitenga na Chadema Wilaya ya Kibondo kwa sasa Idadi yao ni 40 na wanadai muda uliopo kufanya mageuzi na kurekebisha taratibu zingine ili chadema ikubali na iendelee uchaguzi 2025 ni mfupi sana hivyo haki zao watazikosa

 

‘’ Kweli nakipenda Chama change kimenitoa mbali sana lakini utaratibu huu na misimamo iliyopo siwezi kuendelea  bora ni nje ya mfumo wa chama hicho nitajua jambo la kufanya baadae maana ninajiuliza kwani tungefanya uchaguzi kwa baadae tukadai mabadiliko haiwezekani?

Anna Matabalo mmoja wa wanachama waliojiengua chadema

James Maongolo mwanachama aliyetoka chadema alipokuwa anaongea na waandishi wa habari

Lenatus Richad Mjumbe kamati tendaji chadema wilaya ya Kibondo waliyekimbia chama hicho










maana muda ni mfupi kukaribia uchaguzi’’ amesema Lenatusi

 

Nao baadhi ya wanachama wengine James Mahongolo na Anna Matabalo, waliotangaza kujiondoa kwenye Chama hicho  wameleeza kuwa wameumizwa katika mioyo yao kwani na walikuwa miongoni mwa wanaotarajia kugombea kwa nafasi mbalimbali na sasa program ya bila Mageuzi ha hakuna uchaguzi inawanyima fursa hiyo

 

Hata hivyo wameongeza kuwa iwapo kama utaratibu utarekebishwa chama chao kikakubali kuingia kwenye kinyang’anyilo cha uchaguzi watarudi ila 

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Matumizi ya simu kwa wanafunzi chanzo mmomonyoko wa maadili’

HALMASHAURI YA KIBONDO KULIGAWA JIMBO LA MUHAMBWE

HATARI: Wengi wanunua sabuni za dawa bila maelekezo ya wataalamu