Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Januari, 2016

Walemavu katika Wilaya ya Kibondo mkoani kigoma wamelalalmikia tabia ya baadhya ya wakuu wa shule za MSINGI na sekondari ya kutowapokea watoto walio na ulemavu kwa viungo vya mwili kwa madai ya kutokuwepo kwa walimu walio na uwezo wa kufundisha watoto walio na hali hiyo.

Picha
Walemavu katika Wilaya ya Kibondo mkoani kigoma wamelalalmikia tabia ya baadhya ya wakuu wa shule za MSINGI na sekondari ya kutowapokea watoto walio na ulemavu kwa viungo vya mwili kwa madai ya kutokuwepo kwa walimu walio na uwezo wa kufundisha watoto walio na hali hiyo. Hayo yaliwekwa  wazi jana na Joseph Slivester  mmoja wazazi wakatiwa watoto wenye ulemavu wakati wa kikao cha semina elekezi kwa wazazi na walezi wa   watoto wenye ulemavu semina iliyoandaliwana shirika linalojishughulisha na wanawake pamoja na watoto wa kike wenye ulemavu liitwalo tekra lenye makao yake makuu mjini bukoba Mkoani Kagera.kwa lengo la kuwaelimisha wazazi wa watoto wenye ulemavu umuhimu wa kusomesha waelemabu Alisema kuwa kumekuwepo na tabia ya baadhi ya wakuu wa shule kutowapokea watoto hao kwa madai ya kutokuwepo kwa walimu walio na uwezo waufundisha watoto walio na ulemavu ikiwa ni pamoja na ukosefu wa miundo mbinu inayoendana hali waliyonayo  hatua ambayo wamesem...