VIJANA ONGEZENI MAARIFA
Roberth Kihwele Mkuu wa Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Kibondo Abeli Mbilinyi Mwakilishi Shirika la Enabel katika Mahafali FDC Kibondo Polo Ayoub Afisa Tarafa Kibondo, Mgeni rasmi kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Kibondo kwenye Mahafali Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Kibondo Vijana waliokosa Elimu na wale waliokuwa nje ya mfumo wa Elimu kisha kupatiwa fursa na Serikali na kuanza kupata mafunzo ya ufundi ya muda mfupi katika vyo mbali mbali hapa nchini wameshauriwa kujiendeleza pale watakapokuwa wamepata nafasi hiyo ili kuongeza maarifa zaidi Ushauri huo umetolewa na Afisa Tarafa ya Kibondo MkoaniKigoma,Polo Ayubu kwa niamba ya Mkuu wa Wilaya ya Kibondo wakati wa kufunga mafunzo ya miezi sita katika Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Kibondo na kuwataka kuwa na uhitaji wa kuongeza maarifa zaidi Amesema kuwa ulimwengu unabadili na mambo yanakuwa tofauti hivyo ili kwenda na kasi sitaiki hawatakiwi kuridhika na hatua hiyo ya mafunzo bali wajiendeleze ndipo...