Sekta ya kilimo inayotajwa kama uti wa mgongo wa Taifa hili la Tanzania, na kuonekana kuwa ni muhimu sana tangu miaka ya nyuma, lakini hivi sasa umhimu huo umeanza umepotea baada ya wakulima na wafugaji kutotambulika ipasavyo kwa ajili ya kupata mahitaji ya lazima ili kuweka ubora kwa kile kinachotarajiwa
Bidhaa za mazo ya Nyuki Seif Salumkitengo cha ufugaji nyuki Kibondo Bw, Nuhu Kaali Meneja NMB Kibondo Abel Nyasio mfugaji nyuki Kibondo; Sekta ya kilimo inayotajwa kama uti wa mgongo wa Taifa hili la Tanzania, na kuonekana kuwa ni muhimu sana tangu miaka ya nyuma, lakini hivi sasa umhimu huo umeanza umepotea baada ya wakulima na wafugaji kutotambulika ipasavyo kwa ajili ya kupata mahitaji ya lazima ili kuweka ubora kwa kile kinachotarajiwa Kukokesekana kwa hati miliki za mali ambazo hazihamishiki kama mashamba na majumba maeneo ya vjiji kimekuwa ndicho kikwazo kikubwa ikiwena ukosefu wa elimu ya kutosha juu ya maswala ya mikopo Wakizungumzia swala hilo, jana wakulima na wafugaji wakati wa uchaguzi wa viongozi wa vyama vya ushiri Kibondo mkoani kigoma ambao ni Abeli Nyasio na Sospiter Eliya wamelalamikia hali inayowakumba ya kutotambuliwa na taasisis za kifedha hapa nchini ili kupata huduma za mikopo kwa madai hawana...