Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Februari, 2017

Kakonko;Jamii imetakiwa kuacha tabia ya kuwabagua watoto wa kike kwa kupuuza kuwapeleka shule ili kupata haki yao ya msingi tofauti na watoto wa kiume wanavyopewa kipaumbele katika maswala ya Elimu ikidai kwa watoto wote nisawa na ni vema Mtoto wa kike akapwa umuhimuJoyce Ndalichako waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi alipotembelea wilayani Kakonko

Picha
Joyce Ndalichako waziri wa Elimu na Mafunzo ya ufundi Joyce Mwakabibi mkurugenzi Halmashauri Kakonko a Maganga mwenyekiti Halmashauri KakonkoJum Kanal Hosea Ndagala Dc Kakonko Wananchi waliokuwa wakimsikiliza waziri wa elimu Joyce Ndalichako Kakonko; Jamii imetakiwa kuacha tabia ya kuwabagua watoto wa kike kwa kupuuza kuwapeleka shule ili kupata haki yao ya msingi tofauti na  watoto wa kiume wanavyopewa kipaumbele katika maswala ya Elimu ikidai kwa watoto wote nisawa na ni vema  Mtoto wa kike akapwa umuhimu Mila na destili Mitazamo hasi na uelewa mdogo sababu zinazopelekea watu wengi kuwabagua watoto wa kike katika kuwapatia haki mbalimbali yakiwemo masomo Kauli hiyo ilitolewa na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya ufundi Joyce ndalichako jana wakati wa maadhimisho wa ya miaka 40 ya chama cha Mapinduzi yaliyofanyika katika Kijiji cha kasanda wilayani Kakonko Mkoa wa Kigoma ambapo alisema jamii imekuwa na mitazamo tofauti katika kumpatia elimu mtoto wa