Mila Potofu sababu uharibifu wa Mazingira Kibondo
Kibondo . Uchomaji Moto Mistu ni moja ya sababu zinazopelekea uharibifu wa Mazingira kwa Kiwango kikubwa licha ya jitiada nyingi zinazofanyika kwa wananchi wa Mkoa wa Kigoma Indaiwa kuwa, Wakazi wa Mkoa wa Kigoma wanalazimika kutumia Imani inayoshangaza kuchoma Moto sehemu yoyote kwa kujipima urefu wa maisha yao ambapo Mtu akiwasha Moto ukasambaa eneo kubwa ndiyo naye ataishi maisha marefu Stephan Janks ambaye ni Afisa Mazingira Wilaya ya Kibondo Mkoani Kigoma akiwa katika uzinduzi wa Kampeni ya upandaji Miti iliyofanyika Kiwilaya jana kwenye Kijiji cha Kumhama Kata ya Bitare amesema kwa Mwaka jana kati ya Miti 90,000 iliyopandwa katika maeneo mbalimbali Miti 50 ,000 ilichomwa Moto na kuharibiwa kabisa na mingine kung’olewa lewa kabisa na kuchukuliwa na wananchi Janks aliongeza uwa wamekuwa wakifanya jitiada kubwa kuhakikisha wananchi wengi wanapanda Miti lakini baadae uharibiwa na baadhi ya ikiwa ni pamoja na king’oa na kwenda kuipanda sehemu nyingine bila ut...