Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Desemba, 2024

Samia atoa msaada kwa Watoto wenye mahitaji maalum

Picha
Kanal Evance Malasa Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Kibondo alipokuwa akiwahutubia Wageni kwenye hafla ya kukabidhi zawadi zilizotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya Watoto wenye Mahitaji Maalum katika Shule ya Msingi Nengo iliyoko Kibondo Mkoani Kigoma Hapa Dc Malasa akikabidhi zawadi hizo kwa Watoto wenye Mahitaji Maalum Baadhi ya Zawadi zilizotolewa Jesca Andason akitoa shukrania kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Samia Suluhu Hassani  Ibrahimu Masumbuko Mwl Mkuu shule ya Msingi Nengo Elimu Jumuishi Samia atoa msaada kwa Watoto wenye mahitaji maalum Muhingo Mwemezi Kibondo Watoto wenye Mahitaji maalum wanaoishi kwenye Nyumba maalum za kuwahifadhi watoto hao, wanahitaji faraja kutoka kwenye jamii kwani nao wanauhitaji haki kama Binadamu wengineambapo jamii imetakiwa kuendelea kujitoa kwa hali na mali kusaidia makundi hayo hapa nchini Suala la ulinzi wa Watoto hao linaihusu jamii yote kwani unyanyasaji dhidi yao, unaanzia ngazi ya familia hivyo kila mmoja anatakiwa kutoa taa...