DC MISUNGWI AHIMIZA WAZAZI NA WALEZI KUANDIKISHA WATOTO MASHULENI KWA WAKATI
DC MISUNGWI AHIMIZA WAZAZI NA WALEZI KUANDIKISHA WATOTO MASHULENI KWA WAKATI Johari Samizi Mkuu wa Wilaya ya Misungwi Mary Mussa Mwalimu Shule ya Msingi Misungwi Klaud Richard Mkazi wa Misungwi Pamoja na Wilaya ya Misungwi Mkoani Mwanza kuendelea kufanya vizuri katika uandikishaji wa Wanafunzi Elimu awali na Msingi, bado hamasa inahitajika kutolewa kufia malengo yanayokusudiwa Matarajio ya mwaka 2026 kwa Elimu awalini ilikuwa ni kuandikisha Watoto 13219 na walioandikishwa hadi sasa ni 6403 huku dara la Kwanza wanatarajia kuandikisha Wanafunzi 14551 na mpaka sasa Watoto 9082 wamekwisha kuandikishwa wakati zoezi likiendelea Akiongea Ofisini na Waandishi wa Habari Kwake Mkuu wa Wilaya Misungwi Johari Samizi ameeeleza uandikish...