Uchaguzi wa Nigeria hauna uhakika

Tume ya uchaguzi ya Nigeria imekutana na waakilishi wa vyama vyote vya siasa vilivyoandikishwa kujadili iwapo uchaguzi mkuu wa Jumamosi (14/02/15) unafaa kuakhirishwa.

Rais Goodluck Jonathan, magavana wa majimbo, wakuu wa jeshi, na ma-rais wa zamani, wameiomba tume ya uchaguzi ijadili na pande zote kuhusu hali ya usalama nchini.

Kundi la wapiganaji Waislamu, Boko Haram, linafanya mashambulio makali kaskazini-mashariki mwa Nigeria ambako linadhibiti eneo kubwa.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HALMASHAURI YA KIBONDO KULIGAWA JIMBO LA MUHAMBWE

Matumizi ya simu kwa wanafunzi chanzo mmomonyoko wa maadili’

40 CHADEMA KIBONDO WAJIONDOA