Swala la uhaba wa Madawati mashuleni ambalo serikali imeamua kulitilia mkazo na baadhi wilaya na mikoa kuonekana inafanaya kila linalowezekana ili tatizo linaisha au kupungua bado linaendele kuahathili wananfunzi katika shule mbalimbali hatua inayodaiwa kuwa uenda ikasababisha kushuka kwa kiwango cha elimu kwa wanafunzi
Swala la
uhaba wa Madawati mashuleni ambalo
serikali imeamua kulitilia mkazo na baadhi wilaya na mikoa kuonekana inafanaya
kila linalowezekana ili tatizo linaisha au kupungua bado linaendele kuahathili
wananfunzi katika shule mbalimbali hatua inayodaiwa kuwa uenda ikasababisha
kushuka kwa kiwango cha elimu kwa wanafunzi
Kwa upande
wa shule za msingi wanafunzi wengi ujihisi vibaya hasa wanapofika madarasani na
kukalia matofari na baada ya masomo ujikuta wamechafuka kwa vumbi
Said Seleman
ni mkuu wa shule ya sekondari Malagaras iliyoko wilayani kibondo mkoa wa kigoma,
ajana wakatia wa mahafali ya sita ya kuhitimu kidato cha sita katika taarifa
yake alisema kuwa shule yake ni mojawapo ya shule ambazo zimekumbwa na tatizo
hali inayosababisha wanafunzi kukaa kwa kubanana sana
Pamoja na changamoto
ya ukosefu wa madawati, shule yake ina upungufu wa walimu wa sayansi hatua
inayopelekea kuajili walimu wa masomo hayo kwa garama kubwa ingawa walimu wana
uwezo mkubwa wa ufundishaji
![]() |
Said selrman Mkuu wa shule ya sekondari Malagaras |
Takribani wiki
mbili zilizopita wilaya ya kibondo ilifanya harambe kwa kushirikisha wadau
mbalimbali kwa ajili ya kuchangia
madawati ya shule za msingi na
sekondari na kupata madawati hatua
ambayo uwenda itamaliza kabisa tatizo hilo au kulipunguza
Maoni
Chapisha Maoni