TAASISI ZAASWA KUZINGATIA MAZINGIRA ZIWA VIKTORIA

 




TAASISI ZAASWA KUZINGATIA MAZINGIRA ZIWA VIKTORIA

Serikaliimezitakataasisizinazoshughulikanamasualayabahari, ViongoziwaMikoainayozungukaZiwa Viktoria nawadauwenginehususani Mwanzakuhakikishakunakuwanamazingira bora kwaajiliyautunzajinauteketezajiwa taka ngumuzitakazozalishwakatikaZiwahiloilikutoathiriviumbehaiziwani.

Kaulihiyoimetolewajijini Mwanza naKaimuMkuuwaMkoawa Mwanza ambaye pia niMkuuwa Wilaya yaIlemelaMhe.Hassan Masala wakatiwaakihitimishamaoneshoya siku yanne (4) yaMabahariaDunianiyaliyofanyikajijinihumoyaliyoshirikaWizarahusikakwaSerikaliyaJamhuriyaMuunganowa Tanzania naSerikaliyaMapinduzi Zanzibar pamojanataasisimahususizinazosimamiamasualayabahari.

Mhe. Masala amesisitizakuwauwekezajiunaofanywanaSerikalinaSektabinafsihususanikwenyeujenziwameliutaongezauzalishajiwa taka ngumuambapobilakujipangamapemavyombovyamajinivinawezakuwanachangamoto za kuharibika mara kwa mara nahivyokuhafifishauwekezajihuo.

“Mikatabambalimbaliyakimataifainayoongozausafiriwamajiniunasisitizaumuhimuwakutunzamazingiranaikumbukwekuwamikatabahiyoyakimataifasisikamanchitumeridhianakuiwekakulingananamazingirayetuhivyohatuwezikukwepakutunzamazingirailikunusuruviumbewenginewalinjeyanchikavu’ AmesemaMkuuwa Wilaya Mhe. Massala.

Mhe. MassalaamesemaSerikaliinaendeleakujengamazingiramazurikwamabahariawanaohitimukwakuzungumzanamashirikambalimbaliyameliilikuwawezeshawataalam hao kupatasifastahikizitakazowawezshakufanyakazindaninanjeyanchi.

Kwa upande wake MkurugenziwaIdarayaUsalamanaMazingira, Bi. Stela KatondoamesemaWizarakupitiachuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI) inaendeleakuboreshamitaalanakuongezakozimbalimbaliilikukidhimahitajiyasoko la ndaninanjehususanikwenyesektayabahari.

MkurugenziKatondoameongezakuwaSerikaliinaendeleakutengafedhakilamwakailikuboreshamiundombinuya bandari, kujenganakukarabatimeliilikuifanyasektahiyokuchagizauchumiwataifakupitiasektahiyoyabaharikwabaharinaMaziwayaliyoponchini.

Maadhimishoya siku yamahariahuadhimishwamweziJunikilamwakaambapo kwamwaka 2023maadhimishohayoyamebebakaulimbiuya “Miaka 50 ya MARPOL uwajibikajiwetuunaendelea” nayamehusishamazoezimbalimbaliyauokozikatikaziwaviktorianautoajiwaelimuyamasualambalimbaliyakuzingatiakwawadaumbalimbaliwakiwemowamilikiwa meli, watumiajinawaendeshajimeli.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HALMASHAURI YA KIBONDO KULIGAWA JIMBO LA MUHAMBWE

Matumizi ya simu kwa wanafunzi chanzo mmomonyoko wa maadili’

40 CHADEMA KIBONDO WAJIONDOA