Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Aprili, 2017

Bujumbula; Baada ya hali ya amani kurejea nchini Burundi baada ya machafuko yaliyoyakumba baadhi ya maeneo hali iliyopelekea wananchi kuyakimbia makazi yao na utulivu kuweposasa, viongozi wa nchi hiyo wamewataka Raia walioko ukimbizin kurudi na kuendelea na maisha ya kawaida

Picha
Moja ya Mtaa katika mji wa Bujumbula Nchini Burundi wakazi wa Jiji la Bujumbula wakiendelea shuguli zao kama kawaida Abdalah Hasan ambae ni mkuu wa Mkoa wa Ruyigi amesema hayo wakati kamati ya ulinzi na usalama wilaya ya Kibondo Mkoa wa Kigoma Tanzania ilipozulu nchini humo kwa ajili ya kudumisha ujirani mwema kati  ya Burundi na Tanzania Aidha liongeza kuwa baada ya machafuko ya kisiasa ya mwaka 2015, hadi sasa watu bado wanakimbia kwa madai ya kuwepo machafuko ambayo hivi sasa hayapo na kuwataka kurejea na kuipenda nchi yao kwa kuwa Burundi itajengwa na kulindwa na warundi wenyewe Nae Luis Bura ambae ni mkuu wa wilaya ya Kibondo  Tanzania, aliiomba serikali ya Burundi kutengeneza mazingira ya kuwarudisha watu wake nchini mwao kwakuwa amani imeshapatikana akidai wanaokimbia hawana sifa za ukimbiazi na wameshazuia kupokea watu wasiyokuwa na sifa za ukimbizi kupokelewa katika kambi zilizoko wilayani kwake Katika Jiji la Bujumbula linalodaiwa kukubwa san...