Morogoro;Takwimu zinaonyeshaTanzania bado inakabiliwa na kiwango cha juu cha ukatili wa kijinsia ikiwemo ndoa na mimba za utotoni, pamoja na vipigo kwa wanawake kutoka kwa waume zao licha ya juhudi mbali mbali za kupinga hatua hiyo na sheria kali kutungwa bado matukio ya aina hii yanazidi kuongezeka.
Morogoro; Takwimu zinaonyeshaTanzania bado inakabiliwa na kiwango cha juu cha ukatili wa kijinsia ikiwemo ndoa na mimba za utotoni, pamoja na vipigo kwa wanawake kutoka kwa waume zao licha ya juhudi mbali mbali za kupinga hatua hiyo na sheria kali kutungwa bado matukio ya aina hii yanazidi kuongezeka. Utafiti wa hali ya afya ya uzazi,mtoto na malaria wa mwaka 2015/2016 unaonesha kuwa idadi ya wasichana wanaopata watoto katika umri wa miaka 15-19 imeongezeka mpaka kufikia asilimia 27 mwaka 2015 kutoka asilimia 23 mwaka 2016 Vitendo vya ukatili wa kijinsia hapa nchini vinatajwa kuendelea kuwepo licha ya juhudi nyingi za kupiga vita vitendo hivyo kutiliwa mkazo ikiwa ni pamoja na mashirika mbalimbali na serikalia kwa ujumla hasa kusababishwa na uelewa mdogo katika jamii kufichua vitendo hivyo Baadhi ya tafiti zinaonyesha kuwa licha kuendelea kuwepo kwa vitendo hivyo, Tanzania bado iko katika nafasi nzuri ya kupiga vita ukatili huo ka...