Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Mei, 2018

Vijana wanaohitimu mafunzo ya kishi hapa nchini wametakiwa kuzingatia viapo vyao kwa kuyatumia kwa usahihi mafunzo na ujuzi walioupata ili kutimiza hadhima ya serikali ya kuanzisha jesi la kujenga Taifa

Picha
Vijana wa Kikosi cha 824 kanembwa jkt wakiwa kwenye Gwaride wakati wakufunga mafunzo ya awali ya Kijeshi Op Meleran 2018 Vijana wa Kikosi cha 824 kanembwa jkt wakiwa kwenye Gwaride wakati wakufunga mafunzo ya awali ya Kijeshi Op Meleran 2018 Julias Kadawi mwakilishi wa Mkuu wa jkt Tanzania wakati kufunga mafuzo ya kijeshi Jkt Kanembwa Luis Peter Bura, Mkuu wa Wilaya Kibondo aliyekuwa mgeni rasmi katika kufunga mafunzo ya awali Jkt Kanembwa alipokuwa akiwahutubia Vijana wahitimu Luthen Kanal Mkuu wa Kikosi 824 Kanembwa Nazael Eliya akisoma lisara ya Wahitimu wa Mafunzo ya Kijeshi Jkt Kanembwa Vijana wanaohitimu mafunzo ya kishi hapa nchini wametakiwa kuzingatia viapo vyao kwa kuyatumia kwa usahihi mafunzo na ujuzi walioupata ili kutimiza hadhima ya serikali ya kuanzisha jesi la kujenga Taifa Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa wilaya ya Kibondo Mkoani Kigoma Luis Bura aliyekuwa mgeni rasmi jana wakati wa kufunga mafunzo ya awali ya kijeshi Oparation Me...

Kibondo;Uelewa mdogo kwa baadhi ya wananchi juu ya rushwa ni moja changamoto zinazoikabili taasisi ya Kuzuia na kupambana na rushwa

Picha
Kibondo; Uelewa mdogo kwa baadhi ya wananchi juu ya rushwa ni moja changamoto zinazoikabili taasisi ya Kuzuia na kupambana na rushwa Wananchi wengihawako tayari kutoa ushahidi pale wanapohitajika kufanya hivyo licha ya kuwa na taaria za kuwepo kwa watu  wenyekujihusisha na mambo ya rushwa halambayo ina sababisha kukwama kwa au kuchelewa kwa kesi Akiongea juzi katika Tamasha lililoandaliwa kwa ajili ya kutoa elimu kwa jamii juu ya maswala ya Rushwa iliyofanyika katika kata ya mabamba wilayani Kibondo mkoani Kigoma  Kamanda wa Takukuru Michael Oyombe wilayani humo  alisema jamii nyingi hasa vijijini hawatoi taarifa katika vyombo husika pale wanapoona kuna viashiria vya rushwa na kueleza kuwa mpango huo niendelevu ili kutoa elimu kwa wananchi Oyombe alisema hivi sasa zipo kesi mbili katika mahakama ya wilaya hiyo ambazo zinawakabili watu toauti kutokana na vitendo vya rushwa na kuitaka jamii kukataa kurubuniwa na watu kwa ajili ya kuahidiwa edha na vitu kwa aj...