WANAFUNZI WASHINDWA KUFIKA SHULENI BAADA YA KUKUTA MTO UMEFURIKA
Baada ya kufungua shule kwa kumaliza likizo ya robo mwaka Wanafunzi wa shule ya sekondari Ikambi iliyoko Wilayani Kakonko Mkoani Kigoma wameshindwa kufika shuleni hapo kuanza masomo baada ya kufika njiani na kukuta Mto umerika Maji na kushindwa kupita Wanafunzi hao baadhi ambao ni Leonida Eduad na Jayros Yora wamesema Maji katika eneo hilo yamefunika Daraja ambalo huwa wanalitumia kuvu ka kwenda shuleni kwao hivyo wameshindwa kuvuka kwa hofia kuzama Mto huo Muwazi ulioko kwenye Kijiji cha Itumbiko umesababisha kukatika kwa mawasiliano ya shule ya Sekondari Ikambi na maeneo iirani ambapo wanafuni wa shule hiyo wameiomba serikali kurekebisha Miundombinu ya Barabara mawasiliano yarejee tena Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya hiyo imefika kwenye eneo la Tukio ambapo Mkuu wa Wilaya ya Kakonko Evance Malasa amesema mpaka sasa hakuna madhala ambayo yameshatokea kutokana na Mtuo huo kujaa Maji na kuiomba serikali kujenga daraja lenye uwezo wa kuimili nguvu ya ma...