WATAALAM WA BARABARA LETENI MUAROBANI WA FOLENI MIJINI
Waziri waUjenzinaUchukuzi Prof. MakameMbarawa, amewatakawatalaamwabarabarakutafutasuluhishonamwarobainiwachangamotozinazoikabiliamiundombinuyabarabaramijiniikiwemokupunguzamsongamanowamagarinauchafuziwamazingirakatikamaeneoyamiji. AmesemahayoJijini Arusha katikaukumbiwaMikutanowaKimataifa Arusha (AICC),wakatiakifunguakongamano la Kimataifa la Shirikisho la BarabaraDuniani (PIARC) litakalofanyikakwasikutatunakuhusishawataalamwahapanchini, nchizaAfrika, Ulayana Asia. "BarabaranimhimilimkubwakwanchiyetukwanimizigomingiinayotokanainayoingianchinikupitiaBandarihusafirishwabarabarani" ameeleza Prof. Mbarawa. Prof. MbarawaameelezakuwapamojanakuboreshanjianyinginezausafirikwasasaSerikaliinaendeleanauboreshajiwareliyakatinaujenziwareliyakisasakwaajiliyakuipunguziamzigomkubwabarabarakatikausafirishajiwamizigohasainayokwendamikoayambalinabandarinanjeyanchi. AidhaamewaagizawatalaamkukamilishataarifasahihizakisayansinakuwasilishaWizaraniwakatiSerika...