WATAALAM WA BARABARA LETENI MUAROBANI WA FOLENI MIJINI
Waziri waUjenzinaUchukuzi Prof.
MakameMbarawa, amewatakawatalaamwabarabarakutafutasuluhishonamwarobainiwachangamotozinazoikabiliamiundombinuyabarabaramijiniikiwemokupunguzamsongamanowamagarinauchafuziwamazingirakatikamaeneoyamiji.
AmesemahayoJijini Arusha
katikaukumbiwaMikutanowaKimataifa Arusha (AICC),wakatiakifunguakongamano la
Kimataifa la Shirikisho la BarabaraDuniani (PIARC)
litakalofanyikakwasikutatunakuhusishawataalamwahapanchini, nchizaAfrika, Ulayana
Asia.
"BarabaranimhimilimkubwakwanchiyetukwanimizigomingiinayotokanainayoingianchinikupitiaBandarihusafirishwabarabarani"
ameeleza Prof. Mbarawa.
Prof. MbarawaameelezakuwapamojanakuboreshanjianyinginezausafirikwasasaSerikaliinaendeleanauboreshajiwareliyakatinaujenziwareliyakisasakwaajiliyakuipunguziamzigomkubwabarabarakatikausafirishajiwamizigohasainayokwendamikoayambalinabandarinanjeyanchi.
AidhaamewaagizawatalaamkukamilishataarifasahihizakisayansinakuwasilishaWizaraniwakatiSerikaliikijiiandaakufanyamarekebishoya
Sera yabarabarahususanikwenyeeneo lamatumizisahihiyamatairimapana ‘Super
Single’hapanchiniikiwanilengo la kuzilindabarabaranchini.
"KatikaMkutanohuummejaawabobezikwenye
mambo yabarabaraninachotegemeabaadayakikaohikipamojana mambo
menginemnileteeutafitiuliofanywakuhusumatumizisahihiyamatairimapana (super
single tyre) ilituwezekufanyamaamuzisahihikwaTaifaletu”ameongeza Waziri
Prof.Mbarawa.
Kwa upande wake Mwenyekitiwa
TARA, Bw, Joseph HauleameelezakuwaseminahiyoyaKimataifainayohusumasualayausafirishajiendelevuwamizigokwamaendeleoyakiuchuminakijamiiimendaliwanaShirikisho
la BarabaraDuniani (PIARC) kwakushirikiananaWizarayaUjenzinaUchukuzi(Ujenzi)naChama
cha WadauwaBarabaraTanzania (TARA)lengolikiwanikujadilinakutafutaufumbuzimasualambalimbaliyabarabaranahivyokuletatija.
Maoni
Chapisha Maoni