WALIMU ACHENI KUFANYA KAZI KWA MAOEA ILI KUBORESHA ELIMU
WALIMU ACHENI KUFANYA KAZI KWA MAOEA ILI KUBORESHA ELIMU Kibondo.Katika kurekebisha upatikanaji wa elimu hapa nchini walimu wamehaswa kuacha tabia ya kufanya kazi kwa mazoea ili kufikia malengo ya serikali na kuwapatia Watoto ujuzi Hayo ameyasema na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tamisemi upande wa Elimu Charles Msonde alipokuwa akizungumza na Walimu wa shule za Msingi na sekondari wilayani Kibondo Mkoani Kigoma ambapo amesema Mkoa huo uko kiwango cha chini kielimu kutokana na ufundishaji usiozingatia vigezo Amesema kila mwalimua anatakiwa kujipima utendaji wake wa kazi kwa kuwasaidia wanafunzi na kuwataka kuacha mazoea kazini Aidha Msonde ameeleza kusikitishwa kwake juu ya halimu ya elimu ilivyo wanafunzi shule za Msingi wanapanda Madarasa wakiwa hawajui kusoma wala kuandika huku walimu katika shule zinazomilikiwa na serikali wakiona ni mambo ya kaiwada na kuwahasa kuchukua hatua ‘’Wanafunzi katka shu...