Shirika la Bima la taifa limekabidhi jumla ya mifuko miamoja hamsini ya saruji yenye thamani ya shilingi milioni tatu katika wilaya ya kibondo mkoani kigoma ilikusaidia kukamirisha ujenzi wa vyumba vya madarasa na vituo vya afya.
Shirika la Bima la taifa imekabidhi jumla ya mifuko miamoja hamsini ya saruji yenye thamani ya shilingi milioni tatu katika wilaya ya kibondo mkoani kigoma ilikusaidia kukamirisha ujenzi wa vyumba vya madarasa na vituo vya afya. Akizungumza katika makabidhiano hayo Mkuu wa Francko Enock Meneja shirika la Bima Mkoa wa Kigoma Mwanaidi Shimweta mkuu wa kitengo cha mahusiano shirika la Bima la TaifaAdd caption Atashasta Nditiye Naibu waziri ujenzi mawasiliano na uchukuzi Lazaro Shami mkazi wa Kibondo kitengo cha mahusiano shirika la Bima la taifa Mwanaidi Shemweta amesema kwa kutambua umuhimu wa vyumba vya madarasa na vituo vya afya wameona ni vyema kuunga mkono jitihada hizo ilikupunguza tatizo hilo Kwa upande wake Naibu waziri wa ujenzi uchukuzi na mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye amesema tayari wameshafanya ufatiliaji wa kujua shule ambazo zinamapungufu mkubwa hivyo watatoa kipaumbele kwao ilikuwezesha wanafunzi kusoma kwa uhuru...