Shirika la Bima la taifa imekabidhi jumla ya mifuko miamoja hamsini ya saruji yenye thamani ya shilingi milioni tatu katika wilaya ya kibondo mkoani kigoma ilikusaidia kukamirisha ujenzi wa vyumba vya madarasa na vituo vya afya.
Kwa upande wake Naibu waziri wa ujenzi uchukuzi na mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye amesema tayari wameshafanya ufatiliaji wa kujua shule ambazo zinamapungufu mkubwa hivyo watatoa kipaumbele kwao ilikuwezesha wanafunzi kusoma kwa uhuru
Nditiye amesema baada ya serikali kutoa Elimu bure kumekuwa na mwitikio mkubwa kwa wazazi kuwapeleka watoto shule ambapo kumekuwa na upungufu wa madarasa hivyo wanatarajia kusaidia kwa kiasi kikubwa na kuwataka wananchi kuendelea kuiitolea kushiriki katika maendeleo yao wenyewe
Nao baadhi ya wananchi waliohudhulia katika zoezi hilo wamesema bado changamoto ni nyingi hasa kwa upande wa sekta ya afya na kesema kuwa msahada huo utapunguza changamoto za wananchi kusairi umbali mreu kuuata huduma za afya kama zitaunganishwa nguvu za wananchi na misahada misahada ya wadau wengine
Maoni
Chapisha Maoni