Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Novemba, 2018

Kakonko;Imeelezwa kuwa kutokana na kukosekana kwa huduma bora kwa wazee ni moja ya sababu zinazochangia kufa kabla ya wakati

Picha
Kakonko; Imeelezwa kuwa kutokana na kukosekana kwa huduma bora kwa wazee ni moja ya sababu zinazochangia kufa kabla ya wakati Licha yasera ya kuwahudumia wazee wenye umri mkubwa bado zipo changamo nyingi zinazowakabili ikiwa ni pamoja na ukosefu   wa chakula mavazi huduma za bora   afya na kusababisha usumbufu mkubwa na manung’uniko yasiyoisha kutoka katika makundi ya ya wazee Mbonimpa Bisaama ni Mwenyekiti wa chama cha Wazee wilaya ya Kakonko Mkoani Kigoma aliyasema hayo jana wakati wa utoaji misaada kwa wazee 644 wa kata ya Nyamtukuza ambapo alisema wapo wazee wengi wasiyojiweza na wengine wametelekezwa na watoto wao hali inayopelekea kuishi katika Mazingira na magumu na wengine kufa kabla ya wakati wao Msaada uliotolewa kwa walemavu wenye mahitaji maalumu ni wenye thama ya tsh milion 50.6 kutoka katika shirika lisilokuwa la kiserikali la Help Age ambao ni Magoro, Mashat   Viatu na Blanket huku mkuu wa wilaya hiyo Kanali Hosea Ndagala ak...

Wahitimu wa Jeshi la akiba wilayani Kibondo Mkoa wa Kigoma wameiomba serikalikuwapa kipaumbele pale zinapopatikana fulsa za kiulinzi kwa ajili ya kukabiliana na changamoto za ajira na pia kupatiwa mafunzo mbalimbali ya kijeshi ili waweze kujiendeleza na kuwa na ufanisi katika shuguli zao

Picha
Wahitimu mafunzo ya awali Jeshi la akiba wakiwa katika Gwaride wakati kufunga mafunzo ya awali Meja Ahmad Chande Mshauri jeshi la akiba wilaya ya Kibondo Wahitimu wa Jeshi la akiba wilayani Kibondo Mkoa wa Kigoma wameiomba serikalikuwapa kipaumbele pale zinapopatikana fulsa za kiulinzi kwa ajili ya kukabiliana na changamoto za ajira na pia kupatiwa mafunzo mbalimbali ya kijeshi ili waweze kujiendeleza na kuwa na ufanisi katika shuguli zao Baada ya kupata mafunzo mbalimbali ya kijeshi na ulinzi na usalama na ujenzi wa Taifa kwa nyanja mbalimbali na kulingana hali halis ya upatikanaji wa ajira na kuomba kupatiwa mafunzo zaidi ili kuongeza uwezo zaidi katika utendaji wao wa kazi Hayo wameyasema katika katika lisara yao iliyosomwa na Yakin Shedrack wakati wa sherehe ya kufunga mafunzo ya jeshi hilo iliyofanyika katika Kijiji chaa Kumhasa kata ya Mulungu Tarafa ya Kibondo na kueleza kuwa wamejifunza mambo mengi yahusoyo ulinzi Kwa upande wake Mej Ahamad C...

Wananchi wilayani kakonko mkoani kigoma wametakiwa kujitokeza katika zoezi la upuriziaji viatilifu katika majengo yao ili kukabiliana na ugonjwa wa maralia ambao umekuwa tishio kwa maisha ya binadamu

Picha
Kakonko; Wananchi wilayani kakonko mkoani kigoma wametakiwa kujitokeza katika zoezi la upuriziaji viatilifu katika majengo yao ili kukabiliana na ugonjwa wa maralia ambao umekuwa tishio kwa maisha ya binadamu Kauli hiyo imetolewa na mkuu wa wilaya ya kakonko Kanali Hosea Ndagalla alipokuwa akizungumza na Mjini Kakonko jana kuhusiana na zoezi la upuriziaji viatilifu ambalo linaendelea katika maeneo mbalimbali wilayani humo. Kanali Ndagalla amesema licha ya zoezi la upuriziaji viatirifu kuanza October 25 kumekuwa na changamoto mbalimbali kwa baadhi ya vijiji na kata ambao baadhi ya wananchi hufunga milango yao na kukataa kupuriziwa dawa na hivyo kukwamisha zoezi hilo. Mganga mkuu wa wilaya hiyo Joseph Tutuba alisema kuwa kumekuwepo na na ongezeko la ugonjwa wa Maralia hasa katika Vijiji vinavyopakana na nchi ya Burundi  ambako  kulikokuwa na mlipuko wa ugonjwa huo   Tutuba alisema nivema zoezi hilo likafanyika hata kwenye makamb...