Mashabiki wa Simba waadhimisha kwa kufanya shughuli za kijamii
Vaileti Macha Mwanafunzi shule ya sekondari Kibondo Frolrntina Thelathini Mwanafunzi Hija Othman Mwenyekiti wa Simba Tawi la Kibondo alipokuwa akiongea na Waandishi wa habari Hija Othman Mwenyekiti wa Club ya Simba Tawi la Kibondo alipokuwa akimkabidhi mmoja wa wanafunzi wa shule ya sekondari ya wasichana Kibondo Muhingo Mwemezi Kibondo Kuelekea Kilele cha maadhimisho siku ya Timu ya Mpira wa Miguu ya Simba Wanachama na Mashabiki wa Timu hiyo Wilayani Kibondo Kigoma, leo Agost 5,2023 wametoa Msaada wa Taulo za Kike kwa wanafunzi wa shule ya sekkondari ya wasichana Kibondo Hija Othman ni Mwenyekiti wa Tawi la Kibondo ameeleza lengo na madhumuni ya kutoa msaada huo kuwa kwa kile wanachokipata ni lazima kirudishwe kwenye Jamii Aidha amesema kuwa kuwa Watoto wa Kike hasa walioko mashuleni wamekuwa wakikumbwa na changamoto ya kupata vifaa vya kujistili wakati wa hedhi hatua ambayo upelekea kuathirika kisaikolojia ka kushusha kiwango cha ujifunz...