DKT. MPANGO AITAKA TBA KUJITEGEMEA
DKT. MPANGO AITAKA TBA KUJITEGEMEA
MakamuwaRaiswaJamhuriyaMuunganowa
Tanzania, Mhe. Dkt. Philip IsdorMpangoamefunguajengo la makazi la
kibiasharanakusisitizakwambaSerikaliitaendeleakuziwezeshaTaasisizakekuwanamiradimikubwaitakayoziwezesha
kujitegemea.
Akizungumzakatikahaflayaufunguziwajengo
la makazi la kibiasharalililosekeijijini Arusha Dkt. MpangoamesemaSerikaliimeiruhusuWakalawaMajengoNchini
(TBA)kushirkiananasektabinafsikwaubiailikuiwezeshakutekekezamiradiyakimkakatinaitakayoletatijaharakanahivyokupunguzautegemezi
wake kwaSerikali.
“Nawapongezakwaujenziwajengozuri
la kisasa,
endeleeninampangowakujengamajengoyaainahiikatikamaeneombalimbaliyakimkakatiyatakyowezeshakuhudumia
kaya nyinginazingatieniuhifadhiwamazingiranakwakupandamitinamauanakuwekamifumomizuriyakuondoshatakataka’
amesema Dkt. Mpango.
Dkt. Mpangoameitaka
TBA
kufanyauwekezajiwenyetijakatikamaeneoyakenakuhakikishawapangajiwamajengoyakewanalipakodikwawakati.
AmeitakaWizarayaUwekezajikuhakikishainawekamsukumokwenyeujenziwaviwandavya
vifaavyaujenziilikupunguzagharama za ujenzihivyokuwezeshaSerikalikufikialengo
la ujenziwanyumbanyingizitakazokidhimahitajiyaongezeko la idadiyawatu.
“Serikaliimedhamiriakukuzasektayanyumbailiichangiepato
la Taif ana hivyokukuzauchumi’ amesisitizaDkt. Mpango.
Kwa upande wake Waziri
waUjenzinaUchukuzi, Prof. MakameMbarawa,
amesemakuwaazmayaujenzihuuni chimbuko la TBA la kutakakujiendesha
kibiasharanahivyokupatafaida.
"Mfumowakisaawavitasajanja
ilikudhibitiwapangajiwenyemadeninahivyokusaidiaulipajiwakodikwamudamuafaka,lengoni
TBAnikupatamapatozaidinakujiendeshayenyewe." amesisitiza Prof. Mbarawa.
Naye Waziri Ardhi,
NyumbanaMaendeleoyaMakazi, Dkt. Angelina Mabula, ameipongeza TBA
kwakujengamajengomarefuyanayohudumiaidadikubwayawatunakusisitizakuwamajengohayoyaendanenauweponamaegeshoyamagari.
Amesisitizakuwamahitajiyanyumbanchinizaidiya
390,981 kwamwakawakatinyumbazinazojengwanataasisimbalimbalikwamwakanichiniya
2,000.
Amewatakawadaumbalimbaliwaujenziwaendeleekujenganyumbailikuendananaongezeko
la idadiyawatuambapoinakadiriwatakribanwatuzaidiyamilioni1.6 wanaongezekakilamwaka.
MkuuwaMkoawa Arusha,
John Mongelaamesemajengohilolenyesakafu 11 limeongezathamaniyamjiwa Arusha
hususankipindihikiambachoidadiyawataliiimeongezanahivyokuchocheashughuli za
biasharakatikatiyajiji.
Awaliakitoataarifayamradihuo,
MtendajiMkuuwa TBA, Arch. Daud KondoroamesemakukamilikakwamradihuoutawezeshaWakalakujengamajengomenginemarefuyamakazinabiasharakatikaeneo
la Sekeiilikuhamasishashughuli za Utaliikatikajijihilo.
Jengola makazi la kibiasharaeneo
la Sekei lenyesakafu 11linauwezowakuhudumia kaya 22 nalimegharimuzaidiya
shilingi bilioni 6.8 ambapoujenzi wake umetekelezwakatikaawamunne.
Maoni
Chapisha Maoni