NMB kupunguza changamoto Madawati Shule za Msingi Wilayani KibondoFrolence Samizi Mbunge wa Muhambwe akisa
Frolence Samizi Mbunge wa Muhambwe alipokuwa akiongea na wakazi wa Busunzu Seka Urio Meneja wa NMB Kanda ya Magharibi Tabora alipokuwa akitoa salam zake wakati wa hafla ya makabidhiano shule ya Msingi Busunzu B Mkuu wa Wilaya ya Kibondo Kanali Agrey Magwaza kushoto akikabidhiana Madawati na Meneja wa Benki ya NMB Seka Urio kanda ya ya Magharibi wakiwa katika shule ya Msingi Kibondo Mkuu wa Wilaya ya Kibondo Aggrey Magwaza akikabidhiana Madawati ya shule ya Msingi yaliyotolewa Na Benki ya NMB kulia ni Meneja wa Benki hiyo Kanda ya Magharibi Seka Urio Kibondo. Shule ya Msingi Busunzu B iliyoko Wilayani Kibondo Mkoa wa Kigoma yenye Idadi ya Wanafunzi 2980, inakabiliwa na Changamoto Mbalimbali ikiwa ni pamoja na uhaba wa Madawati hali ambayo imekuwa ikisababisha usumbufu kwa wanafunzi wakati wa ujifunzaji Shule hiyo ina Madwati 565 na inaupungufu wa Madawati 421 huku uhitaji ni Madawati 985 ambapo wanafunzi wa shule hiyo wameeleza changamoto hiyo ambavyo imekuwa ikiwasbabishia ...