Malasa; Vijana mnaohitimu Mafunzo Jkt msijihusishe na uharifu
Nasra Joseph Mhitimu Mafunzo ya Kijeshi Vijana Mujibu wa sheria Kanembwa Jkt |
Luten Kanali Matage Kimaro Kamanda Kikosi Kanembwa Jkt |
Kanali Evance Malasa Mkuu wa Wilaya ya Kakonko alipokuwa akiwahutubia Vijana Jkt Kanembwa |
Malasa; Vijana mnaohitimu Mafunzo Jkt msijihusishe na uharifu
Vijana wanaomali za Mafunzo ya awali ya Kijeshi Kijeshi katika Jeshi la kujenga Taifa
wamehaswa kutotumia mafunzo hayo na mbinu za Kijeshi walizofundishwa kufanya uharifu kutokana na
ukakamavu na mbinu mbalimbali bali wawe waadi;ifu
Akifunga Mafunzo ya ya wali katika Kikosi cha 824 Kanembwa Jkt
kilichoko wilayani Kakonko Mkoa wa Kigoma Mkuu wa Wilaya hiyo Kanali Evance
Malasa amewataka Vijana hao kutambua kuwa Taifa linawategemea na ndiyo lengo
mahususi kuwapa mafunzo hayo hivyo wanatakiwa kuishi kwa maadili
Aidha ameongeza kuwa Mafunzo hayo ni muhimu kwa Vijana katika
Taifa na Stad mbalimbali ikiwa ni pamoja
na utaifa wakitanguliza uzalendo popote watakapokuwa ili wawe mfano wa kuigwa
na wengine
Vijana hao waliohitimu Mafunzo hayo, na Mujibu wa sheria
OPrationa miaka 60 ya Jkt ambapo Mkuu wa
Kikosi 824 Kj Kanembwa Jkt Luten Kanal
Matage Kimaro amesema Vijana hao walipoingia Kikosiini hapo wameweza kujifunza
mambo mengi kama shughuli za Kilimo Nidham Utunzaji wa muda kwani ni
Dira,itakayowasaidia popote watakakokuwa
Kwa upande wao baadhi ya Vijana waliohitimu mafunzo hayo
wamesema yamekuwa chachu kwao kutokana na kujifunza stadi mbalimbali Kimasomo
na Kijeshi huku wakiahidi kuishi kama kiapo chao kinavyowataka kuwa
Maoni
Chapisha Maoni