ERB KUWA WAFANISI KWENYE KUSIMAMIA MIRADI
ERB KUWA WAFANISI KWENYE KUSIMAMIA MIRADI KamatiyaKudumuya Bunge yaMiundombinuImewatakaBodiyaUsajiliWahandisi( ERB) kuwezakusimamiamiradiyaokwaufanisinakwaviwangovyahaliyajuu. AkizungumzamarabaaadayakupokeaTaarifayakiutendajiyaJulai- Oktoba Bungeni, jijini Dodoma, Mwenyekitiwakamatihiyo, Mhe. SelemaniKakoso, ameshauriBodikuwanawataalamuwakusimamiamiradiiliifanyikekwaumahirinaufanisizaidi. “Tuangaliesuala la ERB kuwezakusimamiamiradiyoteambayoimepangakuitekelezakwaWahandisiwazawanawahandisikutokanje, mfanousimamiziwaDaraja la kutokaSerengeti hadiTarimelimejengwanaWazawanalipovizurisana”, amesemaMheshimiwaKakoso. Aidha, MheshimiwaKakosoameongezakuwaWahandisiwaunganishwenaMafundiilikuwezakufanyakazikwapamojakwaniitaletatijanahatimayekuleteataasisimaendeleo Kwa upande wake, Naibu Waziri waUjenzi, Eng. Godfrey Kasekenya, ameishukuruKamatiyakudumuya Bunge la Miundombinu, nakusemakwambaSerikalikupitiaWizarayaUjenzi, imewapamajukumubodihiyokuwezakuwatambuakisheriaWahan...