ERB KUWA WAFANISI KWENYE KUSIMAMIA MIRADI
ERB KUWA WAFANISI KWENYE KUSIMAMIA MIRADI
KamatiyaKudumuya
Bunge yaMiundombinuImewatakaBodiyaUsajiliWahandisi( ERB)
kuwezakusimamiamiradiyaokwaufanisinakwaviwangovyahaliyajuu.
AkizungumzamarabaaadayakupokeaTaarifayakiutendajiyaJulai-
OktobaBungeni, jijini Dodoma, Mwenyekitiwakamatihiyo,
Mhe. SelemaniKakoso,
ameshauriBodikuwanawataalamuwakusimamiamiradiiliifanyikekwaumahirinaufanisizaidi.
“Tuangaliesuala
la ERB
kuwezakusimamiamiradiyoteambayoimepangakuitekelezakwaWahandisiwazawanawahandisikutokanje,
mfanousimamiziwaDaraja la kutokaSerengeti
hadiTarimelimejengwanaWazawanalipovizurisana”, amesemaMheshimiwaKakoso.
Aidha,
MheshimiwaKakosoameongezakuwaWahandisiwaunganishwenaMafundiilikuwezakufanyakazikwapamojakwaniitaletatijanahatimayekuleteataasisimaendeleo
Kwa
upande wake, Naibu Waziri waUjenzi, Eng. Godfrey Kasekenya,
ameishukuruKamatiyakudumuya Bunge la Miundombinu,
nakusemakwambaSerikalikupitiaWizarayaUjenzi,
imewapamajukumubodihiyokuwezakuwatambuakisheriaWahandisiwachiniambaoniWazawa.
“
Tumewataka ERB wawenakanzidatayakujuawahandisiwangapiwaliopoNjeyaNchi,
natunatambua ERB
niTaasisikubwaambayoinawahandisikilaSehemuambaowanafanyakazinaTanesco, Duwasa,
REA hivyokuwenataarifazao.
Naye,
MsajiliwaBodiyaUsajiliWahandisi( ERB) MhandisiBernadKavisheamesemakuwawamejipangavizurikuwezakuwainuawahandisiWazawakatikakazizamiradimbalimbaliambayoinatekelezwanaSerikaliyaJamhuriyaMuunganowa
Tanzania.
“
TunaishukuruSerikaliyaAwamuyasitakwakuendeleakuwaaminiWahandisiwetuwandanikwakuwezakupatakazindaniyanchiambazowaponawanafanyavizurinakwaviwango,
kaziambazozinafanywanipamojanakusimamiaBwawa la MwalimuNyerere.
Pia
ameongezakuwaWahandisiwengiwanapataufadhilikupitiaSerikali,namafunzoyamudamfupiyanatolewanaBodi.
KamatiyaKudumuya
Bunge yaMiundombinuleoimepokeaTaarifayaUtendajiwa TBA kwakipindi cha Julai -
Oktoba 2023 iliyowasilishwanaNaibu Waziri waUjenzi Eng. Godfrey
Kasekenyakwaniabaya Waziri waWizarahiyoMheshimiwa Innocent Bashungwa.
Maoni
Chapisha Maoni