Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Desemba, 2023

TAPSEA MKOA WA DODOMA WASAIDIA WAATHIRIKA WA HANANG

Picha
  TAPSEA   MKOA WA DODOMA WASAIDIA WAATHIRIKA WA HANANG Chama cha Waandishiwaendeshaofisi (TAPSEA), Mkoawa Dodoma kimetoa pole namsaadawavifaambalimbalikwawaathirikawamaporomokoya tope yaliyotokeaWilayaniHanangMkoaniManyara. msaadahuoambaonimchangowa TAPSEA mkoawa Dodoma nipamojana vifaavyashuleyakiwemomadaftari, sarezashule, kalamunanguovyotevikiwanajumlayatakribanishilingimilioni 5. Mwakilishiwa Chama hicho   Bi, ConjetaChambilaamesemachamachaokimeonaumuhimuwakuchangianakwalengo la kuwezakuwasaidiawenzao. Pia Bi Chambila, amemshukuruKatibuMkuu, WizarayaUjenziBalozi, Mhandisi Aisha Amour   kwakuwezakuwawezeshausafiriwakutoka Dodoma hadikufikaMkoaniManyara. “ TunamshukurusanaKatibuMkuuwaujenzi, kwakuwezakutukusanyapamojanakutuwezeshakutupausafiri, ikiwatunatokaOfisimbalimbali” amesemaChambila. Aidha, Chama hichokimetoawitokwawaandishiwaendeshaofisiwenginewamikoayakaribukuwezakuwasaidiawaathirikahaoambaowamepotezavituvyaowakatiwamaafahayo. Kwa upande wak...

BILIONI 11.4 KUJENGA DARAJA LA SUKUMA NA BARABARA UNGANISHI KM 2.2

Picha
  BILIONI 11.4 KUJENGA DARAJA LA SUKUMA NA BARABARA UNGANISHI KM 2.2   Magu - Mwanza Waziri waUjenzi, Innocent BashungwaamesemaRaisDkt. SamiaSuluhu Hassan tayariameshatoaShilingiBilioni 11.4 kwaajiliyaujenziwaDaraja la Sukuma lenyemita 70 lililopowilayaniMagumkoani Mwanza pamojanabarabaraunganishiyenyekilometa 2.294 Waziri BashungwaameyasemahayoleoDesemba 17 wilayaniMagumkoaniMwanza   baadayakushuhudiautiajisainiwamkatabawaujenziwadarajahilokatiyaWakalawaBarabaraNchini (TANROADS) nakampuniyaMkandaradiMzawayaMumangi Construction Ltd. “JitihadazinazofanywanaRais Dk. SamiaSuluhu Hassan zinaonekananaametuwezeshakiasi cha ShilingiBilioni 11. 4 kwaajiliyaujenziwadarajahilinababarabaunganishizenyeurefuwakilometa 2.294,   baadayamiezi 18 kamamkatabaunavyotakabarabaranadarajavitakuwavimeimalikanakutuepushanaajaliambazozingewezakutokea” amesemaBashungwa. Aidha, BashungwaamesemaSerikalikupitiaWizarayaujenziitahakikishaMakandarasiwazawawanapewakazinakuwasimamiwailiwa...

Wanawake Jitambueni kufanya kazi

Picha
  Wanawake Jitambueni kufanya kwa kujituma kazi Kibondo. Wanawake wamehaswa kujituma katika kufanya kazi ili kuogeza vipato vya familia na kuboresha malezi ya watoto ili kuepukana na ukatili wa kiuchumi na kijinsia Wengi wao wametajwa kutumia mitandao na kuiga tamaduni zisizostaili hatua ambayo imekuwa ikiwachelewesha kufikia malengo yao na kusababisha kukata tamaa Wakiwa katika siku 16 za kupinga ukatili, kwenye hafla  iliyo wahusisha Wanawake wanachama wa Kibondo women Gala cha Mkoani Kigoma Mwalimu wa Masuala ya Kisaikolojia Epsalia Malya amesema wanawake wengi wamekuwa wavivu wa kujishuguli huku wakipendelea kujipamba na kushindwa kufanya kazi ‘ ’Aliyeajiriwa afanye kazi kwa weredi kwa kufuata taratibu za kazi Mfanyabiashara nae awe mbunifu kwani umakini na kujali ni moja chanzo cha mafanikio kwa mlengwa na hizo ndizo baraka’’alisema Malya Nae Sadaka Gandi toka Jijini Dsalaam ambaye alikuwa mgeni rasmi katika hafla  ambae pia  ni Mtaalam wa Saikolojia amesema zip...