BILIONI 11.4 KUJENGA DARAJA LA SUKUMA NA BARABARA UNGANISHI KM 2.2
BILIONI 11.4 KUJENGA DARAJA LA SUKUMA NA BARABARA UNGANISHI KM 2.2
Magu
- Mwanza
Waziri
waUjenzi, Innocent BashungwaamesemaRaisDkt. SamiaSuluhu Hassan
tayariameshatoaShilingiBilioni 11.4 kwaajiliyaujenziwaDaraja la Sukuma
lenyemita 70 lililopowilayaniMagumkoani Mwanza
pamojanabarabaraunganishiyenyekilometa 2.294
Waziri
BashungwaameyasemahayoleoDesemba 17 wilayaniMagumkoaniMwanza
baadayakushuhudiautiajisainiwamkatabawaujenziwadarajahilokatiyaWakalawaBarabaraNchini
(TANROADS) nakampuniyaMkandaradiMzawayaMumangi Construction Ltd.
“JitihadazinazofanywanaRais
Dk. SamiaSuluhu Hassan zinaonekananaametuwezeshakiasi cha ShilingiBilioni 11. 4
kwaajiliyaujenziwadarajahilinababarabaunganishizenyeurefuwakilometa 2.294, baadayamiezi 18 kamamkatabaunavyotakabarabaranadarajavitakuwavimeimalikanakutuepushanaajaliambazozingewezakutokea”
amesemaBashungwa.
Aidha,
BashungwaamesemaSerikalikupitiaWizarayaujenziitahakikishaMakandarasiwazawawanapewakazinakuwasimamiwailiwawezekufanyakazihizokwakwakiwangokinachotakiwa.
“Mkandarasinakupongezakwanamnaunavyofanyakazinzuri,
hatanilivyokuwaMkoawa Mara nilionaunapongezwa,
nimekujahapawilayaniMagunaonaunapongezwa, mnanipanguvunamnampanguvuRais Dk.
SamiaSuluhu Hassan,
ambayeameelekezaWizarayaUjenzikuandaampangomkakatikwaajiliyamakandarasiwazawa,
nyiemmekuwamfanokwamakandarasiwenginewazawa.” amesemaBashungwa
Kadhalika,
Waziri BashungwaamempongezaMtendajiwaTanroads, Mohamed
BestakwakufanyakazinzurikatikaMkoawa Mwanza
nakumuagizaafanyehivyohivyokatikamikoamingine.
“Niwatakemamenejawotewa
TANROADS mfanyekazikwakushirikiananaviongozi, wakuuwamikoa,
wakuuwawilayanawabungekwasababuwotetunajenganchiyetunaninyumbamojalazimatushirikianenatushirikishanekwapamoja”
amesemaBashungwa.
Vilevile,
Waziri Bashungwa, ametoawitokwawaendeshajiwavyombovya moto kuwamakinikwenye
safari zaohasakatikakipindihiki cha kuelekeasikukuuzamwishowamwaka.
Naye,
MtendajiwaTanroads, Mohamed Besta, amesemakuwausanifuwa kina waDaraja la Sukuma
nabarabaraunganishiulifanywamwaka 2021/22 nakampuniyakizalendoyahapanchini.
“Ujenziwadarajahilipamojanabarabaraunganishiutazingatiamatakwayakimkatabanamudawaujenziwamiuondombinuhiinimiezi
18” amesemaMhandisiBesta.
Kadhalika,
amemhakikishia Waziri
Bashungwakwambaatasimamiavizuriujenziwadarajahilopamojanabarabarazakeunganishinakukamilikakwamudauliopangwanakusemakuwalitajengwanamakandarasiwandani.
Maoni
Chapisha Maoni