TAPSEA MKOA WA DODOMA WASAIDIA WAATHIRIKA WA HANANG

 





TAPSEA  MKOA WA DODOMA WASAIDIA WAATHIRIKA WA HANANG

Chama cha Waandishiwaendeshaofisi (TAPSEA), Mkoawa Dodoma kimetoa pole namsaadawavifaambalimbalikwawaathirikawamaporomokoya tope yaliyotokeaWilayaniHanangMkoaniManyara.

msaadahuoambaonimchangowa TAPSEA mkoawa Dodoma nipamojanavifaavyashuleyakiwemomadaftari, sarezashule, kalamunanguovyotevikiwanajumlayatakribanishilingimilioni 5.

Mwakilishiwa Chama hicho  Bi, ConjetaChambilaamesemachamachaokimeonaumuhimuwakuchangianakwalengo la kuwezakuwasaidiawenzao.

Pia Bi Chambila, amemshukuruKatibuMkuu, WizarayaUjenziBalozi, Mhandisi Aisha Amour  kwakuwezakuwawezeshausafiriwakutoka Dodoma hadikufikaMkoaniManyara.

“ TunamshukurusanaKatibuMkuuwaujenzi, kwakuwezakutukusanyapamojanakutuwezeshakutupausafiri, ikiwatunatokaOfisimbalimbali” amesemaChambila.

Aidha, Chama hichokimetoawitokwawaandishiwaendeshaofisiwenginewamikoayakaribukuwezakuwasaidiawaathirikahaoambaowamepotezavituvyaowakatiwamaafahayo.

Kwa upande wake, KatibuTawala( DAS), MkoawaManyara, Bw. AthumanLikeyekeyeamewashukuruWaandishiwaendeshaOfisikutokamkoawa Dodoma kwaupendowaowakujakuwasaidiawaathirikahaokatikakipindihiki cha SikukuuzaMwakampya.

SerikalikupitiaOfisiya Waziri Mkuu, Sera, Bunge nauratibu, kwakushirikiananaofisizaWakuuwaMikoanaWilaya, wanaendeleakupokeamisaadambalimbalikwaajiliyawaathirikawamaporomokoya tope, MkoaniManyara.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Matumizi ya simu kwa wanafunzi chanzo mmomonyoko wa maadili’

HATARI: Wengi wanunua sabuni za dawa bila maelekezo ya wataalamu

Wazazi timizeni wajibu wenu katika Malezi ili Watoto wenu wafikie Ndoto zao