KASEKENYA: TUMIENI WATAALAM ACHENI KUOGOPA GHARAMA
KASEKENYA: TUMIENI WATAALAM ACHENI KUOGOPA GHARAMA Serikaliimetoawito kwa Mashirika, Taasisi za Serikali pamoja na Sekta Binafsi kushirikisha watalaam wa fani ya WabunifuMajengo katika utelelezaji wa miradi mbalimbali ya majengo, barabara namadarajailikuletaubunifu wa kipekee katika miji nakuifanyaiwe yenye mandhari bora. Witohuoumetolewajijini Dar es Salaam naNaibu Waziri wa Ujenzi, Eng. Godfrey Kasekenya, katika Mkutano wa 27 naKumbukizi ya Miaka 40 ya Chama cha WabunifuMajengo Tanzania (AAT), ambapo pamoja na mambo mengineamesisitizaelimuzaidiitolewekuhusuumuhimu wa tasniahiyo katika shughuli za ubunifu wa majengohasa kwa Sekta Binafsi. “Nisemetu kama mtanzania wakati fulanihatutumiisanawataalamambaomwisho wa sikuutapatakaziyako nzuri, ya uhakikana yenye usalama kwa kuhofia gharama kubwanamatokeoyaketunaenda kwa watu wa barabaranibilakufahamuatharizakehivyoni jukumu lenukuwaeleshawananchikuhusufani hii”, amesema Eng. Kasekenya. ...