MIKATABA 15 YA UJENZI WA BARABARA YA ZAIDI YA TRILIONI 1 KUSAINIWA.
MIKATABA 15 YA UJENZI WA BARABARA YA ZAIDI YA TRILIONI 1 KUSAINIWA.
SerikalikupitiaWakalayaBarabara
Tanzania (TANROADS) inatarajiakusainimikataba 15
kwapamojayaujenziwabarabarakwakiwango cha
lamipamojanaDarajazenyethamaniyashilingiTrilioni 1.034 ilikuboreshahudumazamiundombinunchini.
Hayoyameelezwana
Waziri waUjenzi, Innocent BashungwawakatiakitoamajibuyanyongezaleoTarehe 03
Novemba, 2023 Bungenijijini Dodoma katikakikao cha Nne, Mkutanowa 13.
BashungwaamesemakuwamiradihiyoinatarajiwakutekelezwakwakutumiafedhazandanizamiradiyamaendeleonaSerikaliikombionikuandaatukiohilo.
“MheshimiwaRaisameshatoakibalikamaMheshimiwaNaibu
Waziri alivosema,
natumeonatuandaesikuambayotutasainimikatabahiikwasikumojahalafubaadayahapomiminaNaibu
Waziri tutaambatananaWaheshimiwaWabungekwendakuwakabidhimakandarasikwenyemajimboyenu”,
amesemaBashungwa.
AwaliNaibu
Waziri waUjenzi, Eng. Godfrey Kasekenyawakatiakijibuswali la MbungewaBusokelo,
MheshimiwaAtupeleMwakibete,
amesemataratibuzamanunuziyaMkandarasikwaajiliyaujenzikwakiwango cha
lamikwasehemuyabarabarayaKatumba – Lupaso (km 35.3) naKibanja – Tukuyu (km
20.7) zimekamilika, hatuainayofuatanikumkabidhimkandarasieneo la kazi
(signing).
Maoni
Chapisha Maoni