Vifo vingi vinavyotokea kutokana na ajali za Barabarani vikihusisha waendesha pikpiki ikiwa ni pamoja na kutekwa na kuuwawa vimetajwa kusababishwa na kuosefu elimu ya usalama barabarani kwakuwa biashara hiyo uyahusisha makundi ya vijana ambao wanahuruka mbalimbali iklinganishwa na malikaBaadhi ya waendesha Bodaboda
Baadhi ya waendesha Bodaboda wakiwa kwenye maandamano mjini Kakonko siku ya kuhitimu mafunzo ya usalama Barabarani |
Hosea Ndagala Dc Kakonko alipokuwa akiwahutubia waendesha Pikipiki |
Waendesha Pikipiki daada ya kuhitimu Mafunzo usalama Barabarani |
Mkuu wa Wilaya Kakonko Hosea Ndagala akimkabidhi cheti cha Kuhitim Mafunzo ya usalama Barabarani mwendesha Bodaboda |
Vifo vingi vinavyotokea kutokana
na ajali za Barabarani vikihusisha waendesha pikpiki ikiwa ni pamoja na kutekwa
na kuuwawa vimetajwa kusababishwa na kuosefu elimu ya usalama barabarani
kwakuwa biashara hiyo uyahusisha makundi ya vijana ambao wanahuruka mbalimbali
iklinganishwa na malika
Hayo yamesemwa na mkurugezi
mtendaji wa asasi isiyokuwa ya kiserikali inayojishugulisha na utoaji wa elimu
ya ujasiriamali, usalama Barabarani na Polisi Jamii APEC, Resicius Timanywa
wakati wa hafla ya kufunga mafunzo ya wandeha Pikipiki wilayani Kakonko Mkoani
Kigoma ambapo amesema watu wengi
wamekuwa wakishingwa kutambua kuwa sheria na kanuni zipo kwa ajili ya usalama
wao
Aidha amesema ili kunusulu
makundi ya watu wanaotumia Barabara ni vema serikali ikaweka utaratibu maalum
kwa ajili wa utoaji kwani hata watembea kwa miguu ujikuta wanapata madha au
kusababisha ajali kwa kutofahamu au kwa makusudi na kutowaruhusu waendesha
Vyombo vya moto ambao watakuwa hawajapata mafunzo ya usalama Barabarani
Kwa upande wake Mkuu wa wilaya ya Kakonko Hosea Ndagala ambae alikuwa
mgeni rasmi katika Hafla hiyo, amesema serikali kupitia shirika la Apec
inakusudia kusambaza mafunzo hayo katika wilaya zote za Mkoa wa Kigoma ikiwa na
lengo la kupunguza vifo na ulemavu unaoathili nguvu kazi ya Taifa
Nao baadhi ya wahitimu wa mafunzo
hayo wameiomba serikali kufanya maandalizi ya mapema pale inapokusudia kupeka
mafunzo hayo katika maeneo yanayokusudiwa ili kuwafanya watu wengi kujiandaa kifedha kwa
kuwa vijana wengi wanaendesha Pikipiki
za watu na vipato vyao ni vidogo hali inayosababisha kukosa mafunzo ambapo wahiti awamu hii
wiayani Kakonko ni 261
Mwisho
Maoni
Chapisha Maoni