Vipaji vingi vya ambavyo upatikana vijijini ikiwa ni michezo mbalimbali havikui kutokana na vikwazo vya kutotembelewa na makundi husika kama vilabu vya mipira na usanii
Vipaji vingi vya ambavyo upatikana vijijini ikiwa ni michezo mbalimbali havikui kutokana na vikwazo vya kutotembelewa na makundi husika kama vilabu vya mipira na
usanii
Katika Bonanza la michezo lililoandaliwa na shirika la
maendeleo ya vijana la mkoani Kigoma KIVIDEA, lililoandaliwa na kufanyika
katika kata ya Mabamba Wilayani Kibondo mkoani humo, baadhi ya vjana wengi
waliohudhulia Bonanza hilo,wameviomba vilabu vya michezo hapa nchini kujenga
tabia kufuatilia wachezaji katika timu za vijiji kuliko kujikita mijini tu
Aidha wameelekeza lawama zao kwa vyama vya mipira
wilaya kutofika maeneo ya vijijini
angalau kuzisaidia timu zinazoanzishwa hata kwa kutoa maelekezo juu ya
uendeshaji wa timu na sheria zamichezo
Wamesema kuwa kutokana na Mazingira ya vijijini watu wenye
vipaji vya uchezaji kama mipira wa pete miguu na muziki kwa upande wa wasichana
na wanawake ina kuwa ni changamoto kwa makundi hayo kutokana mitazamo hasi wanafikiriwa
kuwa kufanya hivyo ni uharibi wa ukosefu wa maadili na kusababisha wengi
kutojitokeza kushiriki katika michezo kwa kuhofu kueleweka vibaya ndani ya
jamii
Akifungua Tamasha hilo Diwani wa kata ya Mabamba ambae
alialikwa kama mgeni rasmi Hamisi Mazina amewata vijana na malika mbambali
kujikita katika kwa kuonyesha vipaji vyao bila kukata tamaa ya kutoendelezwa
kuwa michezo ni dawa itaweza kuwasiadia ikiwa ni pamoja na kufuata taratibu za
michezo kutokana maelekezo
Maoni
Chapisha Maoni