Kakonko;Wachimbaji wadogo madini wa Mgodi wa Nyamwilonge wilayani Kakonko Mkoa wa Kigoma wametoa msahada wa mifuko 20 ya Saruji kama mchango wao akatika jamii ili kupunguza changamoto za upatikanaji wa vyumba vya madarsa katika shule ya msingi Kakonko
Mkuu wa wilaya ya Kakonko mwenye shati la mistari akikabidhiwa mifuko ya saruji na katibu wa wachimbaji wadogo Omary Bakora kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa shule ya msingi Kakonko Mkuu wa wilaya ya Kakonko mwenye shati la mistari akikabidhiwa mifuko ya saruji na katibu wa wachimbaji wadogo Omary Bakora kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa shule ya msingi Kakonko Kakonko; Wachimbaji wadogo madini wa Mgodi wa Nyamwilonge wilayani Kakonko Mkoa wa Kigoma wametoa msahada wa mifuko 20 ya Saruji kama mchango wao akatika jamii ili kupunguza changamoto za upatikanaji wa vyumba vya madarsa katika shule ya msingi Kakonko Akikabidhi Sauruji hiyo katibu wa wachimbaji hao,Omary Bakora, amesema kwa kuwa wao ni sehemu ya jamii wameamua kuchangia ili watanzania waweze kupata elimu Bora ila ni baada ya kuona matatizo yanayoikabili sekta elimu juu ya miundo mbinu ya Madarasa na Madawati Akipokea msaada huo wa saruji juzi al...