Waumini wa Dini ya Kikristo hapa nchini wameungana na wenzao kote Duniani kuadhi,isha kuzaliwa kwa Mwokozi wao Yesu Kristo tukio linadaiwa kufanyika zaidi ya miaka 2000 iliyopita abapo leo viongozi mbalimbali wa Dini na serikali wakiwahasa wananchi kushereekea kwa Aman na tulivu
Waumini wa Dini ya Kikristo hapa nchini wameungana na wenzao kote Duniani kuadhi,isha kuzaliwa kwa Mwokozi wao Yesu Kristo tukio linadaiwa kufanyika zaidi ya miaka 2000 iliyopita abapo leo viongozi mbalimbali wa Dini na serikali wakiwahasa wananchi kushereekea kwa Aman na tulivu Kwa hapa Tanzania Ibada zimefanyika kwenye makanisa mabilimbali wakristo wakiadhimisha siku hiyo huku viongozi wa dini hizo wakiwahasa waumini wao kufuata maadili ya Muumba wao mara wanaposherhrkea wakijua wapo watu wngi wanapenda kushereheka kwa amani na utulivu Mmoja wa Viongozi wa Dini katika Ibada Xmas iliyofanyika katika Kanisa la Evagelist Asemblies of God wilayani Kibondo Mkoani Kigoma Wandali Ndonka ameitaka Jamii na waumini wote wa kikristo kuacha kuazimisha siku hiyo kwa kufanya vurugu na kuhatarisha Amani kwa kuwa si makusudi ya siku hiyo Nao Viongozi wa Jeshi la Polis wameendelea kutoa lai ya kwa kuwataka watu wote kusherehekea kwa amani kwani ni aibu wakristo ...