Waziri wa mambo ya ndani Mwingulu Nchemba amewataka Vijana wilayani ma kuungana pamoja katika kupiga vita rushwa katika kuunga mkono jitihada za Raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr.John Magufuli.
samson Hanga mkuu wa wilaya kigomaaliyemwakilisha Mwigiru Nchemba Waziri wa Mambo ya ndani katika uzinduzi wa albam ya Kwaya Kanisa Anglikana |
Waziri wa mambo ya ndani Mwingulu Nchemba amewataka Vijana wilayani ma kuungana pamoja katika kupiga vita rushwa katika kuunga mkono jitihada za Raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr.John Magufuli.
Kauli hiyo ameitoa wakati akizungumza na wakazi wa wilaya kibondo Mkoa wa Kigoma katika Uzinduzi wa Mkanda wa nyimbo za Injili Video anisa la Anglikani dayosisi ya kibondo mjini .
Akimwakilisha waziri wa mambo ya ndani mkuu wa wilaya ya kigoma .Samsoni Anga amesema watanzania wameteseka kwa kipindi kirefu katika swala la Rushwa na hivyo ni wakati ambao haina budi kila mmoja kuchukia rushwa na kupinga kwa hali ya juu.
Aidha amelipongeza Kanisa hilo kwa malezi mema kwa vijana kwani maandalizi mema ya vizazi vijavyo
Awali akisoma risala mbele ya mgeni rasmi mmoja wa Vijana wa kanisa hilo Hauleti Jonasi amesema kwa kutambua kauli mbiu ya raisi wa awamu ya tano tayari wapo katika mkakati wa kuungana kupinga vitendo vya rushwa.

Maoni
Chapisha Maoni