Waumini wa Dini ya Kikristo hapa nchini wameungana na wenzao kote Duniani kuadhi,isha kuzaliwa kwa Mwokozi wao Yesu Kristo tukio linadaiwa kufanyika zaidi ya miaka 2000 iliyopita abapo leo viongozi mbalimbali wa Dini na serikali wakiwahasa wananchi kushereekea kwa Aman na tulivu

Waumini wa Dini ya Kikristo hapa nchini wameungana na wenzao kote Duniani kuadhi,isha kuzaliwa kwa Mwokozi wao Yesu Kristo tukio linadaiwa kufanyika zaidi ya miaka 2000 iliyopita abapo leo viongozi mbalimbali  wa Dini na serikali wakiwahasa wananchi kushereekea kwa Aman na tulivu



Kwa hapa Tanzania Ibada zimefanyika kwenye makanisa mabilimbali  wakristo wakiadhimisha siku hiyo huku viongozi wa dini hizo wakiwahasa waumini wao kufuata maadili ya Muumba wao mara wanaposherhrkea  wakijua wapo watu wngi wanapenda kushereheka kwa amani na utulivu

Mmoja wa Viongozi wa Dini katika Ibada Xmas iliyofanyika katika Kanisa la Evagelist Asemblies of God wilayani Kibondo Mkoani Kigoma Wandali Ndonka ameitaka Jamii na waumini wote wa kikristo kuacha kuazimisha siku hiyo kwa kufanya vurugu na kuhatarisha Amani  kwa kuwa si makusudi ya siku hiyo

Nao Viongozi wa Jeshi la Polis wameendelea kutoa lai ya kwa kuwataka watu wote kusherehekea kwa amani kwani ni aibu wakristo kusherekea kwa kufanya fujo kama anavyoeleza mkuuu wa polisi wilayani kakonko Philmon Makungu
 
Nao baadhi ya wananchi wamesema kuwa watu wanotenda mambo hayo ni kutokana na kuporomoka kwa maadili katika jamii ndo maana inafikia serikali kuwasimamia wakristo katika kusherehekea kama wanavyoelezea  Litines

Wandali Ndonka mchungaji Kanisa la EAGT YAFA KIBONDO

Anna Ezra mkazi wa kibondo

Litnes Simon Mkazi wa kibondo

Philmon Makungu Ocd Kakonko

Simon na Anna Ezra wakazi wa kibondo

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Matumizi ya simu kwa wanafunzi chanzo mmomonyoko wa maadili’

HATARI: Wengi wanunua sabuni za dawa bila maelekezo ya wataalamu

Wazazi timizeni wajibu wenu katika Malezi ili Watoto wenu wafikie Ndoto zao