Msiba wa Kitaifa
Tunawapa pole wazazi ndugu na Jamaa wa wanafunzi waliokufa kwenye ajali ya Gari huko Karatu Msiba huu ni wetu wote huvyo tunamuomba Mungu awape uvumilivu wazazi wa karibu katika Kipindo hiki kigumu
Katika hili kila mwanadamu mwenye akili timamu analo la kujifunza katika maisha yake anayoishi nayo msiba huu unatisha na unatia simanzi kumbwa mioyoni mwetu kwani umewachukua watoto wadogo na kukatisha ndotro zao na malengo ya wazazi
Maoni
Chapisha Maoni