BARABARA YA KIDATU-IFAKARA YAFIKIA ASILIMIA 87

 




BARABARA YA KIDATU-IFAKARA YAFIKIA ASILIMIA 87

UjenziwabarabarayaIfakara -KidatuwilayaniKilomberoyenyeurefuwaKilometa 66.9 ambayoimewahikusababishaMbungewaJimbo la KilomberoAbubakariAsenga,kupigamagotikwenye tope nakuiombaSerikalikuijengakwakiwango cha lami, sasaumefikiaasilimia 87.

AwalibarabarahiyoilikuwaikiwafanyaWananchiwatumiemasaamatatuhadimannekutokaKidatumpakaIfakaralakinibaadayakujengwakwakiwango cha lamisasakunaifanya safari iweyakatiyadakika 45 hadidakika 60.

AkizungumziakatikamahojianoMaalumnakipindi cha TANROADS mkoakwamkoaMbungehuyowaJimbo la KilomberoAbubakarAsenga,amesemaawalibarabarahiyoilikuwanachangamotonyingi, lakiniRaiswaJamhuriyaMuunganowa Tanzania Dkt. SamiaSuluhu Hassan alisikiakilio cha Wananchi wake, WizarayaUjenzinaUchukuzi, Wizarayafedhana TANROADS wakaungananakuanzaujenzinasasazaidiyakilometa 47 katiya 67 zimeshakamilikakwakiwango cha laminakipandekilichobaki km 20 kutokaSignaliKwendaIfakarakinaendeleakujengwa.

‘’TunamshukurusanaMheshimiwaRaisDkt. Samiamaanatanguameapandiotulipatakilometaya kwanza, leotunazungumza km 47 tayarizimejengwa, sisihukuniwakulima, Ulanga, MlimbanaMalinyiwoteniwakulimawakubwasanawamazaombalimbaliyachakula, ikiwemoMpungana Miwa kukamilikanabarabarahiikutasaidiasanakupunguzagharamazakusafirishamazaonapembejeozakilimonahivyokuongezafaidanauzalishajikwaWananchi" ameelezaAsenga.

AmeongezakuwabarabarahiyonimuhimukwaniinaufunguamkoawaMorogoronakuunganisha kata zotezaWilayayaKilomberoikiwemo kata 14 zajimbo la Kilombero, pia MlimbakunabarabaranyingineitajengwamkatabawaujenziutasainiwahivikaribuniambayoitaungananahiiyaKidatu - IfakarakwendamkoaniNjombe.

WakizungumzakwaniabayaWananchiwenzao Bwana TimtimIzacknaRazulu Hussein wamesematangukupatauhuruzaidiyamiaka 60 iliyopita, Kidatu-IfakarahawakuwahikuwanabarabarayalamilakinindaniyamiakamiwiliyaRaisDkt. SamiaSuluhu Hassan madarakaniamefanikisha, hivyowameishukuruSerikalinaviongoziwotewaliowezeshakujengwakwabarabarahiyoiliyopoWilayayaKilomberomkoaniMorogoro.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Matumizi ya simu kwa wanafunzi chanzo mmomonyoko wa maadili’

HATARI: Wengi wanunua sabuni za dawa bila maelekezo ya wataalamu

Kibondo;Chuo cha Uuguzi kilichoko Wilayani Kibondo mkoani Kigoma kina kabiliwa na matatizo mbalimbali ikiwa ni pamoja na ukosefu wa miundo mbinu ya majengo fedha kwa ajili ya kuendeshea chuo hicho na ukosefu wa watumishi wakutosha hali inayopelekea kuathili ufundishaji