Digital Mobile Afrika yapambana uharibifu Mazingira utengenezaji Majiko Sanifu yaliyoboreshwa
Aggrey Magwaza Mkuu wa Wilaya ya Kibondo alipokuwa akiwahutubia washiriki Digital Mobile Afrika |
Washiriki wa Mafunzo wakiwa Kikaon |
Susan Kaijanangoma |
Kibondo. Katika mapambano ya kuzuia uharibifu wa Mazingira yanayofanywa na Taasisi, Makampuni Serikali katika maeneo mbalimbali hapa nchi imeelezwa bado jitiada za makusudi zinahitajika ili kufikia malengo na Mikakati ya Dunia
Jitiada hizo zinatakiwa kufanyika katika jamii ngazi za chini kabisa hatika Vijiji na Mitaa kwa kuwaelimisha wananchi ambapo Mwakilishi wa Shirika la Cecuesi Capito Suzan Kaijanangoma alipokuwa katika mafunzo ya siku moja juu ya kutenenza na kutumia Majiko Sanifu yaliyoboreshwa iliyofanyika Kijiji cha Minyinya Kata ya Bunyamboa Kibondo Mkoani Kigoma ambapo ameeleza kama wananchi wataelewa mazingira yatakuwa salama
Shirika la Cecues Capital lenye Makao makuu yake nchini Marekani kwa kushirikiana na Kampun ya Digital Mobile Afrika katika kupambana na usambaaji wa hewa ukaa na ukataji wa Miti wanalenga kutengeza Majiko Sanifu yaliyoboreshwa yapatayo 100,00 na kuyagawa kwa wananchi hapa wanufaika wa mpango huo wanasema
Mafunzo hayo yalishirikisha Watendaji wa Kata na Baadhi ya Viongozi wa Vijiji na wananchi kwa lengo la kuwaelimisha wengine ambapo Mgeni rasmi Mkuu wa Wilaya ya Kibondo Kanali Agrey Magwaza amesemawata wadau kutumia vifaa vinavyopatikana hapa nchini
Vifaa vya utengenezaji wa Majiko hayo vilitajwa kutokea nchini Malawi ambapo Mkuu huyo wa Wilaya alisistiza kuepuka kukwama katika uzalishaji Majiko hayo licha ya baadhi ya Malighafi kama Matofari kutengenezewa hapa nchini na kuhamasisha makundi ya wazee wa umri nao kujifunza teknolojia hiyo ambayo imetajwa kuwa nyepesi na kupunguza matumizi ya Nishati za Mistu
Maoni
Chapisha Maoni