Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Juni, 2026

MATUMIZI YA YA TUMBAKU NI HATARI

Picha
  Siraji Abubakari Mkazi wa Ilemela Mwanza Haruna Hashimu Mkazi wa Mwanza       Siku ya Kupinga Matumizi ya Tumbaku Duniani,   huadhimishwa Mei 31 kila mwaka. Siku hii inalenga kuongeza uelewa juu ya hatari za matumizi ya tumbaku, hatua za kudhibiti tumbaku na kufichua mbinu hatari zinazotumiwa na makampuni ya tumbaku.   Nchi Wanachama wa Shirika la Afya Ulimwenguni ziliunda Siku ya Kupinga Matumizi ya Tumbaku Duniani mwaka 1987 ili kueleza janga la tumbaku, vifo vinavyoweza kuzuilika na magonjwa yanayosababishwa na tumbaku.   Kwa maelezo ya Shirika laAfya Duniani, Matumizi ya tumbaku, yana athari mbaya kwa mwili,hudhuru karibu kila kiungo katika mwili, na uvutaji tumbaku, ni moja ya sababu kuu ya vifo vya mapema ambavyo husababishwa na na Magonjwa kama SarataniKifua na na mengine   na wahanga wakubwa ni vijana   Kwa mujibu wa WHO, matumizi ya tumbaku huuwa takribani watu milioni sita kila mwaka. Watu laki sita kati ya hao, hu...