MATUMIZI YA YA TUMBAKU NI HATARI

 



Siraji Abubakari Mkazi wa Ilemela Mwanza

Haruna Hashimu Mkazi wa Mwanza




 

 

 Siku ya Kupinga Matumizi ya Tumbaku Duniani,  huadhimishwa Mei 31 kila mwaka. Siku hii inalenga kuongeza uelewa juu ya hatari za matumizi ya tumbaku, hatua za kudhibiti tumbaku na kufichua mbinu hatari zinazotumiwa na makampuni ya tumbaku.

 

Nchi Wanachama wa Shirika la Afya Ulimwenguni ziliunda Siku ya Kupinga Matumizi ya Tumbaku Duniani mwaka 1987 ili kueleza janga la tumbaku, vifo vinavyoweza kuzuilika na magonjwa yanayosababishwa na tumbaku.

 

Kwa maelezo ya Shirika laAfya Duniani, Matumizi ya tumbaku, yana athari mbaya kwa mwili,hudhuru karibu kila kiungo katika mwili, na uvutaji tumbaku, ni moja ya sababu kuu ya vifo vya mapema ambavyo husababishwa na na Magonjwa kama SarataniKifua na na mengine  na wahanga wakubwa ni vijana

 

Kwa mujibu wa WHO, matumizi ya tumbaku huuwa takribani watu milioni sita kila mwaka. Watu laki sita kati ya hao, hufa kutokana na kuathiriwa na moshi wa tumbaku zinazovutwa na watu wengine.

Inakadiriwa kuwa kufikia mwaka 2030 watu milioni nane watakuwa wanakufa kwa sababu ya tumbaku, kwa mujibu wa utafiti wa Taasisi ya Saratani ya Marekani (ACS)

 

Kwanini Tumbaku nihatari, nabado matumizi yake yanazidi kushika kasi katika jamii mbalimbali?  Wananchi kutoka Mkoani Mwanza          siraji Abubakari naa Haruna Hashimu, wameleza kuwa bado Elimu inahitajika katika jamii kutambua madhala yatokanayo na matumizi ya Tumbaku

 

‘’Madhala yatokanayo na tumbakuni makubwajapohayapewi kipaumbele ili Watu waweze kujiepusha hivyo Elimu itiliwe mkazo’’ amesema Haruna

 

Ikumbukwe kuwa Mtuakishapata madhala yanayokana na tumbaku Matibabu yake ni garama kubwa uathiri vipato vya familia na nguvu kazi ya Taifa hivyo pendastarehe chukua  na tahadhari linda maisha yako acha kuiga bali penda kujifunza

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Matumizi ya simu kwa wanafunzi chanzo mmomonyoko wa maadili’

KUHITIMISHA UCHUKUAJI FOMU KINYANG'ANYIRO CHA UBUNGE JIMBOLA MUHAMBWE CCM

HATARI: Wengi wanunua sabuni za dawa bila maelekezo ya wataalamu