Watanzani wametakiwa kuachana na dhana potofu na kupenda jifunza ili kupata uelewa juu ya Taasisi za serikali na shughuli zake kuliko kuendelea na minong’no isiyokuwa na maana kwa kulipaka matope jeshi la kujenga Taifa kuwa nila unyanyasaji
Vijana jkt wakiwa kwenye Gwaride wakati wa kufunga mafunzo ya awali ya kijeshi |
Luten Conal Amos Gerad mkuu wa kikos 824 Kj Kanembwa Jkt |
Mkuu wa wilaya ya Kakonko Pete Toima mgeni rasmi kwa niaba ya mkuu wa mkoa wa Kigoma |
Watanzani wametakiwa kuachana na dhana potofu na kupenda jifunza ili kupata uelewa juu ya Taasisi za serikali na shughuli zake kuliko kuendelea na minong’no isiyokuwa na maana kwa kulipaka matope jeshi la kujenga Taifa kuwa nila unyanyasaji
Hayo yamewekwa wazi na Mkuu wa kikosi cha 824 kj Kanembwa Jkt Luten Colnal Amos Gerard kilichoko wilayani Kakonko mkoa wa kigoma wakati wa kufunga mafunzo ya awali ya kijeshi kwa vina mujibu wa sheria operation Kikwete.
Ameeleza kuwa kumekuwepo na maneno kuwa Jeshi la kujenga Taifa hapa nchini katika Vikosi vyake kuwa kuna manyanyaso na mateso, hali inayopelekea baadhi ya vija kukwepa kujiunga na jeshi hilo maneno ambayo hayana ukweli wowote bali kulipaka matope jeshi hilo.
Kwa upande wake mkuu wa wilaya ya Kakonko Peter Toyma, ambaye alikuwa mgeni rasmi kwa niaba ya mkuu wa mkoa wa Kigoma Issa Machibya, amesema kuwa kazi ya jeshi la kujenga Taifa ni kuwaweka vijana katika hali nzuri kwa kuwafundisha uzalendo na kuwafanya waweze kujitegemea katika maisha na maadili mema na
Kwa upande waobaadhi ya wahitim wa jeshi wamesema kuwa wamefahamu lengo la jeshi la kujenga Taifa hivyo watawelimisha vijana wenzao kama alivyoeleza hamisi Lutenganija katika lisara yake huku Bi Leokadia Joseph mhitim akisema kuwa wamepata faida kujifunza ujasiliamali ukakamavu imara na waaminifu mambo ambayo haya patikani mashuleni
wapatao elfu 1 mia 2 kumi na 1 huku wavulana wakiwa elfu na15 na wasichana wakiwa ni mia1 tisin na 6 idadi inayoonekana
Hata hivyo baadhi ya wananchi na wazazi wa wahitim, walioudhulia sherehe hizo wameweza kusema kuwa watoto wakike wameonekana kutojitokeza kwa kiwango kikubwa hali inayoonyesha kutokuwa na usawa hata kama ni haki stahiki
Vijana waliohitimu mafunzo ya kijeshi kwa mujibu wa sheria katika kikosi hicho,idadi yao ni wapatao elfu 1 mia 2 kumi na 1 huku wavulana wakiwa elfu na15 na wasichana wakiwa ni mia1 tisin na 6.
Mwisho
Maoni
Chapisha Maoni