Kibondo;Wanaufaika wa mpango wa kunusulu kaya masikini kupitia Tasaf wametakiwa kujitathimini tangu wameanza kupokea fedha mpango huo ni mambo gani waliyoyafanya kulingana na malengo ya serikali ya kuhakikisha wanapiga hatua moja hadi nyinginewaka
Wanufaika wa mpango wa kunusulu kaya masikini |
Luis Bura mkuu wa wilaya kibondo |
Beatrice Joseph mwezeshaji Tasaf Kibondo |
John Makunja kaimu mratibu Tasaf Kibondo |
Kibondo;Wanaufaika wa mpango wa kusulu kaya masikini kupitia Tasaf
wametakiwa kujitathimini tangu wameanza kupokea fedha mpango huo ni mambo gani waliyoyafanya kulingana na malengo ya
serikali ya kuhakikisha wanapiga hatua moja hadi nyingine
Hayo ameyasema Mkuu wa wilaya
Kibondo Mkoani Kigoma Luis Bura wakati zoezi la ugawaji fedha kwa walengwa wa
mpango huo ambapo alisema hivi sasa awamu ya kwanza inaelekea ukingoni ili
watoke na wengine waingie na kunuaika
Alisema kwa wale ambao
hawakuanikiwa kufikia malengo yao bado hawajachelewa kwa kipindi
kilichobaki hivyo wanatakiwa kuwa makini
kwakuzitumia vema pesa hizo
John Makunja yeye ni kaimu
mratibu wa Tasafu Kibondo amesema tatizo la watu waliokwama kufikia lengo si
kubwa sana lakini wamekuwa wakiendelea kuwaelekeza namna ya kuzitumia fedha
hizo na kuongeza kuwa katika kipindi cha mwezi Julai agast fedha zilizotolewa
ni tsh 301 milion
Nao baadhi ya wanufaika wa mpango
huo ambao ni Sanilwa Binyago,Editha Masabo na Ndabandi Abeli walisema kuwa kusaidiwa na mpanguon kujenga za kuishi waliokuwa na nyumba za majani waliweza
kuzibadilisha ikiwa ni pamoja na kukua miugo kama kuku na mbuzi ikilinganishwa
na hali zao za awali ambapo hata kupata chakula ilikuwa shida
Kwa upande wake mwezeshaji wa wanufaika wa mfuko wilaya ya kibondo Beatrice Joseph alisema
changamoto zilizopo ni chache kwa walengwa kutotimiza masharti hasa kwa
kuwapeleka watoto Clinic na Mashulen
Mwisho
Maoni
Chapisha Maoni