Ridhiwani Kikwete na Kubatilishwa kwa Matokeo ya uchaguzi Kenya.
Leo
September 1 2017 ni kuhusiana na maamuzi ya Mahakama Kuu nchini Kenya
kubatilisha matokeo ya uchaguzi Mkuu uliyofanyika August 8 2017 na Uhuru
Kenyata kuibuka mshindi wa Urais dhidi ya Raila Odinga.
Jaji
Mkuu David Maraga ameagiza uchaguzi Mkuu mpya utafanyika ndani ya
siku 60 kwa mujibu wa sheria na katiba na umebatilishwa kwa sababu IEBC
hawakuwa wameandaa uchaguzi huru na haki.
Mbunge wa Chalinze
Ridhiwani Kikwete ameandika mtazamo wake kupitia ukurasa wake wa
instagram “Niliwahi Sema najifunza jambo toka Kenya, Leo inathibitika wakati
Mahakama inafungua kurasa Mpya ya Kumbukumbu ya Maamuzi.#KenyaDecides“
|
Maoni
Chapisha Maoni