Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Novemba, 2026

WANAFUNZI MLIOKO KATIKA MFUMO WA ELIMU ZITAMBUENI FURSA ZA MAISHA MAPEMAB

Picha
  Wanafunzi wanaohitimu shule za Msingi na Sekondari zakati na za juu wamekuwa wakikabiliwa na changamoto za kukosa fursa za mafunzo ya taaluma hatua ambao husababisha kukumbwa na wakati mgumu katika kuendesha maisha yao Teophil Joakim Makamu Mkuu wa Chuo FDC Kibondo Methusela yusto Meneja Mradi wezesha Binti Wilaya ya Kibondo shirika la Enabel Gpsa Lukaza Mwanafunzi Migezi Sekori Tabitha Joseph Mwalimu Shule ya sekondari Usagara maisha yao yakila siku Hayo yamebainishwa katika hafla fupi ambayo imewakutanisha Wanafunzi wanaosoma katika shule mbalimbali za sekondari Wilayani Kibondo Mkoani Kigoma iliyofanyika kwenye chuo cha maendeleo ya Wananchi Kibondo ili kujionea fani mbalimbali   na wanafunzi wanaofadhiliwa na Shirika la Enabel na kujenga uelewa Meneja Mradi wa wezesha Binti kupitia Shirika la Enebel Wilaya yaKibondo Methusela Yusto amesema ziara hiyo inalenga kutoa mafunzo ili Wanafunzi wanapohitimu elimu zao wawenauelewa wa kuchagua fani za kuwasaidia katika kuende...