Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Agosti, 2026

KUPINGA MAJARIBIO YA SILAHA ZA NYUKLIA DUNIANI

Picha
    Silaha za a nyuklia ni silaha zinazosababisha madhala makubwa sana, kati ya silaha zote, hilo n ibomu lenye nguvu na pia lenye hatari zaidi, kuna  mataifa yenye uwezo mkubwa wa silaha hatari za nyuklia ulimwenguni na kuwa tishio kubwa.   Ikumbukwe kuwa Bomu hilo hapo awali lilikuwa linaitwa Scud na lilitengenezwa 1943 na Mtu mmoja Raia wa Israel aliyejulikana kwa Jina la Alberth Instain na baadae Bomu hilo liliboreshwa kutoka    R 9 Scud- B   kuwa Atomic   Julai 12 1945 huko nchini Marekani kupitia Mradi wa Marnhata.   Silaha hizo zilitumika kwa Mara ya Kwanza katika Vita kuu ya pili ya Dunia mnamo Agost 6,1945 Marekani iliporusha bomu hiro   katika Mji wa Nagasaki nchini Japani na kuuwa Watu laki 1 na wengine laki 1 na 30 walifariki baadae kutokanana kupata Majeraha makubwa   Siku tatu baadae, Bomu hilo Atomic lilirushwa katika Mji wa Hiroshima nchini Japani Agost 9, 1945 na kusababisha madhala ambayo yanaendel...

"UJENZI WA MELI MPYA NA CHELEZO KIGOMA KUFUNGUA SOKO LA BIASHARA KIMATAIFA" WAZIRI MBARAWA

Picha
  "UJENZI WA MELI MPYA NA CHELEZO KIGOMA KUFUNGUA SOKO LA BIASHARA KIMATAIFA" WAZIRI MBARAWA   Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, amesema uwekezaji wa kampuni ya kizawa ya Dar es Salaam Merchant Group katika ujenzi wa chelezo na meli mpya mkoani Kigoma utaongeza uwezo wa Tanzania kujenga na kukarabati meli nchini, huku ukifungua fursa za biashara na huduma za ujenzi wa meli kwa nchi zinazozunguka Ziwa Tanganyika, ikiwemo DRC na Zambia   Prof. Mbarawa ameyasema hayo baada ya kukagua eneo la Bulombora Mkoani Kigoma linalojengwa chelezo cha kampuni hiyo, akisema Serikali inaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa sekta binafsi kushiriki katika uwekezaji wa miundombinu na huduma za usafiri wa njia ya maji hatua ambayo itaongeza uwezo wa wazawa katika ujenzi na ukarabati wa vyombo vinavyosafiri kwa njia ya maji   Amesema kampuni hiyo, iliyoshiriki katika ujenzi na ukarabati wa meli ikiwemo MV Liemba, imeanza maandalizi ya ujenzi wa meli mpya yenye uwezo wa...

Viongozi wa Vijiji na Kata simamien na kutoa elimu umuhimu wa Lishe

Picha
  Kibondo. Viongozi wa Kata na Vijiji wamehaswakuendelea kuhamasisha umuhimu wa Lishe na mpangilio wa matumizi ya vyakula kwa Watoto na watu rika zote ukiwemouchangiaji wa chakula Mashuleni ili kupunguza udumavu na kuinua kiwango cha Elimu Amebainishahayo Afisa Lishe Wilaya ya Kibondo Tumaini Muna wakati wa kujadili ripoti ya utekelezaji afua za Lishe kwa robo yanne 2025/26 ambapo ameeleza kuwa licha ya shule zote kutoa huduma ya Chakula,wapo baadhi ya Wazazi ambao hawachangii chakula kwaajili ya Watoto waojambo ambalo halikubaliki Aidha Munna ameongeza kuwa ili kukabiliana na changamo ya udumavu,ni lazima afua za lishe zisimamiwe kikamilifukuanzia ngazi za familia huku akisistiza viongozi kusimamia kwa Vitendo mafunzo yanayotolewa katika maadhimisho ya siku ya Afya ya Lishe ya Kijiji ‘’Hatuwezi kufikia malengo pasipo kwenda pamoja hivyo hao wazazi ambao hawajitolei katika uchangiaji wa huduma ya chakula wanakwenda kinyume hivyo elimu na usimamizi ni muhimu kwani wanaopata sh...