Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Septemba, 2026

ALATI MKOA WA KIGOMA WAKAGUA MIRADI KIBONDO

Picha
  Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania ALATI Mkoa wa Kigoma imeishauri Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo Mkoani Kigoma kuboresha mazingira ya ujifunzaji kwa Wanafunzi wa Chuo cha Maafisa Matabibu kinachomilikiwa na Halmashauri hiyo Wametoa ushauri huo Wajumbe wa Jumuiya hiyo wakiwa kwenye ziara ya kutembelea na kukagua Miradi ambapo wameeleza kulingana na uhimu wa sekta ya afya ni vema uboreshajiwa miundombinu katika chuo hicho ufanyike haraka iwezekanavyo Hatua hiyo imekuja baada ya kupokea taarifa ya namna chuo hicho kinavyoendeshwa na kutoa huduma ambapo Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Kibondo Diocles Lutema  ameeleza kwakuwa chuo hicho kinamilikiwa na serikali wanafuata miongozo Miradi iliyotembelewa na Jumuiya hiyo ni Ujenzi wa Soko la Kisasa, Chuo cha maafisa Tabibu, Jengo la Ofisi za Halmashauri ya Kibondo na Vibanda vya Biashara, huku  baadhi ya ambao ni Lugendo Elias na Anthon Kiteleriwajumbe hao wakipongeza ujenzi wa Miradi hiyo huku nae Mwenyekiti wa H...

DC MAGU AZITAKA MAMLAKA ZINAZOZOJIHUSISHA NA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA BARABARA KUFANYA KAZI KABLA YA MVUA KUNYESHA

Picha
  Katika kukabiliana na Matatizo ya Mvua kubwa ziilizotabiriwa na Mamlaka ya hali ya Hewa nchini TMA , Mkuu wa Wilaya ya Magu Mkoani Mwanza Jubileti Lauwo,amezitaka Mamlaka zote zinazohusika   kukabiliana na majanga kufanya utekelezaji kazi husika   kwa wakati kabla Mvua hizo hazijaanza kunyesha Akiongea mara baada ya Kikao na Viongozi   kuanzia ngazi za Vijiji na Wataalam mbalimbali amesema ameziagiza Mamlaka zinazohusika na Miundo mbinu ya Barabara yaani Wakala wa huduma za Barabara za Mijini Vijijini TARURA na TANROAD kuboresha miundombinu hiyo haraka kwani ni muhimu kwa Maisha ya Watu Aidha amesistiza mikataba inayotajwa kuhakisha inafanyiwa kazi maana Mvua zinatarajiwa kunyesha siku si nyingi zijazo kwa hiyo ni vema Barabara zote zikawa zimeimarishwa mapema na kurekebisha njia za Maji Jubileti Lauwo Mkuu wa Wilaya ya Magu akiwa kwenye Kikao na Viongozi Wilayani Magu wakijadili namna kuchukua tahadhari ya Elinino Hata hivyo Jubileti amesema katikaWilaya yakew...