Kakonko;Imeelezwa kuwa kutokana na kukosekana kwa huduma bora kwa wazee ni moja ya sababu zinazochangia kufa kabla ya wakati
Kakonko; Imeelezwa kuwa kutokana na kukosekana kwa huduma bora kwa wazee ni moja ya sababu zinazochangia kufa kabla ya wakati Licha yasera ya kuwahudumia wazee wenye umri mkubwa bado zipo changamo nyingi zinazowakabili ikiwa ni pamoja na ukosefu wa chakula mavazi huduma za bora afya na kusababisha usumbufu mkubwa na manung’uniko yasiyoisha kutoka katika makundi ya ya wazee Mbonimpa Bisaama ni Mwenyekiti wa chama cha Wazee wilaya ya Kakonko Mkoani Kigoma aliyasema hayo jana wakati wa utoaji misaada kwa wazee 644 wa kata ya Nyamtukuza ambapo alisema wapo wazee wengi wasiyojiweza na wengine wametelekezwa na watoto wao hali inayopelekea kuishi katika Mazingira na magumu na wengine kufa kabla ya wakati wao Msaada uliotolewa kwa walemavu wenye mahitaji maalumu ni wenye thama ya tsh milion 50.6 kutoka katika shirika lisilokuwa la kiserikali la Help Age ambao ni Magoro, Mashat Viatu na Blanket huku mkuu wa wilaya hiyo Kanali Hosea Ndagala ak...